Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,628
- 5,261
Una maanisha nini kusema Ni auto receiver ndugu
Usiwe na wasi nayo, je, ni auto receiver hiyo Lg?
Usiwe na wasi nayo, je, ni auto receiver hiyo Lg?
Sony Bravia ipo pouwaHabarini wadau.
Kati ya smart tv ya LG, Sony, Samsung ipi inaongoza interm of clarity? Hapa nazungumzia picha kwaliti ukiachana no mbwembwe nyenginezo. Brand ipi inakimbiza?
Nijuzeni kabla sijaingia dukani.
Mkuu unamzungusha weeeeeee,wakati anataka jibu simple, kati ya hizo kampuni alizo zitaja wewe ni kampuni gani unaona wanatoa smart tv yenye picha ang'avu, bora na so fine colour........kinachofanya picha au kioo cha tv kiwe na quality si brand bali ni technology iliotumika. na nikukumbushe tu vizuri gharama.
kioo cha oled na resolution ya 4k au ultra HD (UHD) ndio kitatoa quality nzuri zaidi ya picha tv zake ukizipata bei rahisi ni kama milioni 5
ila kama unataka kuangalia chanell za bongo kwa quality nzuri inabidi utafuta tv ya chogo au kama ni smart iwe 720p sababu tv zetu ni resolution ndogo
Hata mimi naikubali sana sony sio siriPiga ua garagaza, Sony ndio mwisho wa maneno yote.
tatizo la wabongo mnataka muambiwe tu nunua sony au nunua samsung wakati hilo si jibu sahihi. kuna maelfu ya tv za samsung au sony au lg unataka kuniambia zote ni nzuri?Mkuu unamzungusha weeeeeee,wakati anataka jibu simple, kati ya hizo kampuni alizo zitaja wewe ni kampuni gani unaona wanatoa smart tv yenye picha ang'avu, bora na so fine colour........
Mkuu iyo shark unauza kiasi gan???Chukua Shark inch 32+ hutajutia
UHD inakuwa useless pale tu unapokuwa huna content zake lakini movie ya 4k ina blow away full hd katika distance kubwa sana, ndio maana hapo juu nimemwambia kama anaangalia tv za kibongo atafute tu tv ya hd sababu hata tv ya full hd itakuwa pixel zinaonekana dhahiri kwa macho.Kwanza kuhusu UHD.
Ultra HD ina resolution kubwa sokoni kwa sasa ila ni mostly uselesss, kwanza hakuna video wala TV utakazozipata katika ubora huo yaani hakuna content, pili macho ya binadamu majority hayataona tofauti ukiwa umekaa distance ya kawaida ya kuangalia TV, unapokuwa dukani unaona kuna tofauti kubwa kwa vile wanaonyesha UHD content na upo karibu sana na TV. Pia kwa size za kawaida za TV haina maana, inaanza kuleta maana ukienda kwenye 60+ inches.
Unaweza kusoma hapa zaidi Why Ultra HD 4K TVs are still stupid
Watengenezaji wanapush TV za aina hii kwa kuwa wanatafuta soko jopya baada ya 3D TV kufeli kwenye soko, pia inaokoa gharama za utengenezaji kwao kutoa ma TV makubwa.
Ukichukua TV za Full HD za makampuni makubwa zote ni nzuri na hakuna ambayo unaweza kusema ni bora, hii inategemea na mawazo ya mtu, kuna mtu atapenda Sony mwengine Samsung hakuna right and wrong.
Ni vizuri kuchagua TV kwa kuiona inavyoonyesha mwenyewe hasa nyumbani kwa mtu maana madukani haupati picha halisi kutokana na umbali na jinsi mwanga ulivyo.
Kuna TV wanazoziita HD ready, hizi sio Full HD na picha yake haitakuwa sharp kama za Full HD ila inafaa hasa kama TV itakuwa mbali na mwangaliaji hautaona tofauti kubwa.
Hapa ningependa kukubaliana na Chief-Mkwawa kwenye hili swala TV yenye picha clear kama alivyo uliza mtoa mada ni hizi TV za UHD nilijaribu 2 moja ya LG nyingine ya Samsung na movie yangu personal ya 4K niliyo download... Na kusema ukweli maishani mwangu sijawahi ona clarity kama niliyoiona pale especially kwa sababu ya ile pixel density uwe mbali uwe karibu kitu clear na colour accuracy ipo on point tatizo tu ni bei. Lakini kama wewe ni mtu unataka TV ambayo utakaa nayo miaka 6-7 mbele basi UHD ndio the way to go.UHD inakuwa useless pale tu unapokuwa huna content zake lakini movie ya 4k ina blow away full hd katika distance kubwa sana, ndio maana hapo juu nimemwambia kama anaangalia tv za kibongo atafute tu tv ya hd sababu hata tv ya full hd itakuwa pixel zinaonekana dhahiri kwa macho.
nakupa sababu kwanini tv za 4k na UHD ni bora zaidi ya full Hd
usahihi wa rangi
pengine umeshawahi kusikia rangi na hizi rangi zetu za simu na tv ambazo ni milioni 16 hizi ni 8bit ambazo zinakuwa ni green 256, blue 256 na red 256 ukizidisha ndio unapata hio milioni 16 yaani
256x256x256=16m
sasa tv za 4k na uhd zinasuport 10bit na 12bit color ambazo ni nadra kuzipata huko chini
10bit ni shader 1024 kwa rangi zote red blue na green
1024x1024x1024=bilioni 1
12bit ni shader 4096 kwa rangi zote
4096x4096x4096=bilioni 68
sasa fikiria mwenye rangi milioni 16 vs billioni 68 kuna hata ushindani hapo?
hii itasaidia kuna rangi kwa uhalisia wake, alichotaka uone producer wa movie ndio utakachokiona, alichotaka uone alioedit video ndio utakachokiona ndio maana hata kwa video editor na designer 4k display ni must have sababu zina rangi nyingi.
hivyo tegemea movie na tv za 4k kuwa na quality nzuri compare na fullhd au hd
flagship tv ni za 4k zote
kama vile ilivyo simu zimehamia Qhd basi na tv hivyo hivyo unaponunua tv ambayo sio ya 4k usitegemee best technology kuwa huko. 4k panel zinakuwa manufactured na latest technology kama ni sony itakuwa na best na latest bravia engine, mambo ya x-reality etc huwezi kuta hivyo vitu kwenye tv zao za hd. mfano wake ni kama simu huwezi kuta simu ya samsung ya 1080p na 720p ikiwa na best amoled panel, au ikiwa manufactured na latest process siku zote display panel ya flagship kama s7 ndio itakuwa ile latest technology inetumika.
content za 4k zipo kama unaingia internet
zipo movie za kutosha za 4k, camera za simu siku hizi zinashoot 4k, youtube pia ina 4k na internet zetu pia zina speed ya kudownload 4k bila kusahahu deki na hometheatre za sasa zinakubali 4k pia
Na ndio maana chief akashauri kuchukua ya kawaida.Hapa ningependa kukubaliana na Chief-Mkwawa kwenye hili swala TV yenye picha clear kama alivyo uliza mtoa mada ni hizi TV za UHD nilijaribu 2 moja ya LG nyingine ya Samsung na movie yangu personal ya 4K niliyo download... Na kusema ukweli maishani mwangu sijawahi ona clarity kama niliyoiona pale especially kwa sababu ya ile pixel density uwe mbali uwe karibu kitu clear na colour accuracy ipo on point tatizo tu ni bei. Lakini kama wewe ni mtu unataka TV ambayo utakaa nayo miaka 6-7 mbele basi UHD ndio the way to go.
Na pia kwenye UHD TV content za 1080p au 1440p zinakuwa upscaled tu bila tabu huto ona the difference.Tatizo tu ni pale unapo tumia hizi decoder ambazo sio HD hapo ndio utalia.
Inamaana hazitaonekana?Tatizo tu ni pale unapo tumia hizi decoder ambazo sio HD hapo ndio utalia.
Zinaonekana lakini kwa quality ile unaanza kuona zilivyokuwa mbaya Kwa mfano angalia decoder ya HD yoyote ile ya kawaida au Explorer angalia channel zote then nenda kwenye channel zetu za Tbc, clouds, star TV sasa zidisha hiyo experience yako kwa 5Inamaana hazitaonekana?
flat screen hazipo sawa hata kama zote zinatoka kampuni moja...inategemea technology unayotaka na bajeti yakoMkuu unamzungusha weeeeeee,wakati anataka jibu simple, kati ya hizo kampuni alizo zitaja wewe ni kampuni gani unaona wanatoa smart tv yenye picha ang'avu, bora na so fine colour........