Ninunue brand gani ya TV kati ya hizi?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Wakuu nataka ninunue flat screen kuanzia nchi 32 na kuendelea kati ya hizi brand ninunue ipi?

TV BRAND HIZI

AILYONS,
ALITOP,
ABORDER,
BOSS,
GOOD VISION,
PMC,
HIGH Q,
SOLAR MAX,
STAR CROWN,
ZUNNE
ABORDER
RISIN

Kati ya hizo brand hapo ni tv ipi ambayo inadumu,imara, Ina quality bora ya picha yaani resolutions nzuri sana lakini pia imara na inayodumu?

Nawasilisha

Mrejesho: Finally nimechukua boss inch 43, asanteni sana.
 
Wakuu nataka ninunue flat screen kuanzia nchi 32 na kuendelea kati ya hizi brand ninunue ipi?

TV BRAND HIZI

AILYONS,
ALITOP,
ABORDER,
BOSS,
GOOD VISION,
PMC,
HIGH Q,
SOLAR MAX,
STAR CROWN,
ZUNNE
ABORDER
RISIN

Kati ya hizo brand hapo ni tv ipi ambayo inadumu,imara, Ina quality bora ya picha yaani resolutions nzuri sana lakini pia imara na inayodumu?

Nawasilisha

Hapo chukua tu yyte zote zinafanana hazipishani, kimsingi hakuna TV hapo , kwa soko letu la Africa brand ni hzi LG, Sony , Samsung , ukifeli sana chukua Hisense au TCL
 
Wakuu nataka ninunue flat screen kuanzia nchi 32 na kuendelea kati ya hizi brand ninunue ipi?

TV BRAND HIZI

AILYONS,
ALITOP,
ABORDER,
BOSS,
GOOD VISION,
PMC,
HIGH Q,
SOLAR MAX,
STAR CROWN,
ZUNNE
ABORDER
RISIN

Kati ya hizo brand hapo ni tv ipi ambayo inadumu,imara, Ina quality bora ya picha yaani resolutions nzuri sana lakini pia imara na inayodumu?

Nawasilisha

Dah mbona zote ulizotaja ni tv moja tu! Yoyote sawa, kioo na circuit ni moja kwa hizo zote
 
Mbona hapo hamna Tv, kwani SONY, LG au SAMSUNG hujaziona?
 
Wakuu nataka ninunue flat screen kuanzia nchi 32 na kuendelea kati ya hizi brand ninunue ipi?

TV BRAND HIZI

AILYONS,
ALITOP,
ABORDER,
BOSS,
GOOD VISION,
PMC,
HIGH Q,
SOLAR MAX,
STAR CROWN,
ZUNNE
ABORDER
RISIN

Kati ya hizo brand hapo ni tv ipi ambayo inadumu,imara, Ina quality bora ya picha yaani resolutions nzuri sana lakini pia imara na inayodumu?

Nawasilisha

Zote hazifani, nunua:

Samsung
TCl
SONY
LG
 
Dah mbona zote ulizotaja ni tv moja tu! Yoyote sawa, kioo na circuit ni moja kwa hizo zote
Nadhan kumuelewesha ni kuwa kilichobadilika ni trade name, kuongezea wigo ila ni TV Moja in quality!! Ukitaka Cha kudumu ni Hisense, Samsung na LG, pia Sony!! Ila kwenye list yake aongeze Sangsung
 
Back
Top Bottom