Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

ukwama

Senior Member
Aug 6, 2014
136
0
Baada ya kutaabika na TV la chogo takribani miaka 10 mfululizo nimeamua kubadilisha nami nihamie kwenye udigitali kama wenzangu. Nimepanga ninunue TV ya inch 32 ila sijajua ninunue aina ipi nzuri kwa sababu Sina uzoefu na uelewa wa TV hizi za kisasa , nimejaribu kufanya window shopping hizi ndo nimezishortlist Samsung,LG na Sony.

Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wataalamu wa kila aina na hii tasnia najua wapo wa kutosha hasa kwenye resolution na other technical issues. Hivyo basi naomba kujuzwa ipi TV nzuri ili ninunue kitu chenye ubora .

Asanteni sana
========

MAPENDEKEZO

Wabongo mnataka muambiwe tu nunua sony au nunua samsung wakati hilo si jibu sahihi. Kuna maelfu ya tv za samsung au sony au lg unataka kuniambia zote ni nzuri?

Hata kama tv ni ya samsung ila ikiwa na resolution ya 320x240 na panel za TFT unategemea quality itakuwa nzuri?

Hio technology ya oled na resolution ya 4k/UHD ndio latest kwa sasa usipochagua hio hata ununue brand gani duniani yenye less specs jua hutapata quality kama hio.

========
 
ukwama

Senior Member
Aug 6, 2014
136
0
Maadam unatumia Internet nakushauri utumie Google kujua ubora wa kila moja. Sidhani kama mtu anazo zote tatu ili akupe uzoefu wake. Tutaishia kukushauri ununue zile tulizonazo!
Asante kwa ushauri mkuu nimejarubu kuangalia kila moja ina sifa tofauti na nyenzake
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,235
2,000
Baada ya kutaabika na TV la chogo takribani miaka 10 mfululizo nimeamua kubadilisha nami nihamie kwenye udigitali kama wenzangu. Nimepanga ninunue TV ya inch 32 ila sijajua ninunue aina ipi nzuri kwa sababu Sina uzoefu na uelewa wa TV hizi za kisasa , nimejaribu kufanya window shopping hizi ndo nimezishortlist Samsung,LG na Sony.

Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wataalamu wa kila aina na hii tasnia najua wapo wa kutosha hasa kwenye resolution na other technical issues. Hivyo basi naomba kujuzwa ipi TV nzuri ili ninunue kitu chenye ubora .

Asanteni sana
Uzuri wa TV sio jina. Ni specification,kuna Sony ina spec za juu kuliko Samsung or lg and vice versa. Kwa maana hio kuna Sony nzuri kuliko Samsung or lg and vice versa kutegemeana na specification.

Ukipita madukani soma specification halafu linganisha.
 
Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,797
2,000
Baada ya kutaabika na TV la chogo takribani miaka 10 mfululizo nimeamua kubadilisha nami nihamie kwenye udigitali kama wenzangu. Nimepanga ninunue TV ya inch 32 ila sijajua ninunue aina ipi nzuri kwa sababu Sina uzoefu na uelewa wa TV hizi za kisasa , nimejaribu kufanya window shopping hizi ndo nimezishortlist Samsung,LG na Sony.

Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wataalamu wa kila aina na hii tasnia najua wapo wa kutosha hasa kwenye resolution na other technical issues. Hivyo basi naomba kujuzwa ipi TV nzuri ili ninunue kitu chenye ubora .

Asanteni sana
nakushauri nunua samsung hutajutia pesa yako
 
loykeys

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
1,162
2,000
Pia usisahau kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura na ifikapo october ukamchague kiongozi , na hatimaye uweze kumuona vyema akiapishwa kupitia luninga yako mpya ya samsung, au LG au Sony,
bila kumung`unya maneno namshauri achague mgombea wa ukawa cuz nao wapo ki digital...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom