Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

Habarini wadau.
Kati ya smart tv ya LG, Sony, Samsung ipi inaongoza interm of clarity? Hapa nazungumzia picha kwaliti ukiachana no mbwembwe nyenginezo. Brand ipi inakimbiza?
Nijuzeni kabla sijaingia dukani.
As long as ni smart TV chukuwa.. Samsung Oled yake inasaturation kubwa inafanya colours ziwe na muonekano mzuri sana utainenjoy na cha pili pia Samsung wana service centre zao Tanzania nzima so ukipata tatizo huto anagaika. Samsung ndio chaguo zuri kwako
 
1.Sony Bravia (tafuta original)
2. Lg

Sent from my E6553 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wadau.
Kati ya smart tv ya LG, Sony, Samsung ipi inaongoza interm of clarity? Hapa nazungumzia picha kwaliti ukiachana no mbwembwe nyenginezo. Brand ipi inakimbiza?
Nijuzeni kabla sijaingia dukani.

Ankol naomba nikusaidie kukujibu. kwanza unabajeti ya sh ngapi? Pili unataka kujua tu ipi inaongoza au unataka ukanunue inayoongoza kwa technologia? Maana kuongoza technologia haimaanishi kwamba tv zote za kampuni hiyo zitakuwa nzuri(kumbuka kuna tv za zamani na mpya). Tatu tv unataka kufanyia nini? Maana majibu yametoka mengi lakini sidhani kama yamekusaidia.Kama yamekusaidia basi mi naishia hapa. Karibu.

Habarini wadau.
Kati ya smart tv ya LG, Sony, Samsung ipi inaongoza interm of clarity? Hapa nazungumzia picha kwaliti ukiachana no mbwembwe nyenginezo. Brand ipi inakimbiza?
Nijuzeni kabla sijaingia dukani.

Ankol naomba nikusaidie kukujibu labda nitaweza. kwanza unabajeti ya sh ngapi? Pili unataka kujua tu ipi inaongoza au unataka ukanunue inayoongoza kwa technologia? Maana kuongoza technologia haimaanushi kwamba tv zote za kampuni hiyo zitakuwa nzuri. Nasema hivyo kwasababu hela yako itatuambia kuwa unataka kununua tv ya aina gani. Tatu unataka kufanyia nini? Maana majibu yametoka mengi lakini sidhani kama yamekusaidia.Kama yamekusaidia basi mi naishia hapa. Karibu.
Habarini wadau.
Kati ya smart tv ya LG, Sony, Samsung ipi inaongoza interm of clarity? Hapa nazungumzia picha kwaliti ukiachana no mbwembwe nyenginezo. Brand ipi inakimbiza?
Nijuzeni kabla sijaingia dukani.
 
Picha kuwa clear haitegemei tu aina ya TV unayotumia bali pia inategemea sana king'amuzi unachotumia na whether unatumia HD cable au standard cable!
 
Habarini wadau.
Kati ya smart tv ya LG, Sony, Samsung ipi inaongoza interm of clarity? Hapa nazungumzia picha kwaliti ukiachana no mbwembwe nyenginezo. Brand ipi inakimbiza?
Nijuzeni kabla sijaingia dukani.
Za waganga wa jadi
 
Habari wana jamii forum, naomba mwenyekujua TVya pintec flat screen maana nipo dukani nataka ununue , wameniambia ina king'amuzi cha ndani kwa ndani

Naishi Tabora urambo wamenabia kinashika channel zote kasoro za sports nisaidien mwenye kujua kabla sijanunua, maana hapa kuna aboder, sumsung, singsung, na pin tec
 
angalia bei yake na unachopata halafu angalia brand kubwa nazo ni vipi sababu kwa uzoefu wangu huwa hazitofautiani sana. na ni rahisi kununua dar halafu ukaituma huko kuliko kununua kitu kisichoeleweka halafu baada ya miezi 3 ukaanza kujuta
 
Mkuu ni ngumu kupata ushauri juu ya kitu ambacho hao unaowaomba ushauri hawajakiona!!!
Ila nijuavyo Mimi ni kwamba ni vigumu kutengeneza bidhaa feki zenye brand ndogo!
Ni rahisi kuiona feki ya Sumsung, Lg, Sony etc lakini ni vigumu kuona feki Za Linsar, pintech etc!
 
mmh kaka kwa kuwa upo TZ angalia quality ya TV yani ni LED/HD smart au sio smart japo hizi tv kwa huko kwa wenzetu hazipo mimi niliulizia mpaka wakanicheka lakini kwa sababu natokea AFRICA ila TV ni UHD 4K 3D teena za PHILLIPS ndio naona zina bei saana saana. ila quality yaake aiseee uta enjoy balaaa. jamani tuko nyuma saana kwenye tech
 
Achana na hiyo pinteck , ni tv zenye ubora mdogosana, socket yake ya ndani ni ndogo sana, na haikawii kufa. Hicho ni mchina pure if low quLity, wanaibrand dealers, zipo pintech, aborder, kodteck, nakashalika,Enye uafadhali ni singsung
 
Back
Top Bottom