Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Kwa hiyo ulibambia sana au tayari walikuwa wameshaweka Ulinzi na Gate kali,Sisi hadi Uefa tunaingia Ipax night kali kuona mechi back in day
Tumebambia kinyama hakukuwa na geti ipax ndio ilikuwa home manurse wamebambiwa acha tu ugwadu noma sana uboyzn
 
Daa aisee OLD MOSHI enzi hizo bhana fukuzia sana mademu wa chuo cha ushirika(MUCCOBS),wazelndo sec na Rau.Kwenda kunywa mbege Rau madukani kule na kila alhamis na Jmoss kuzamia harusimi ukumbi wa YMCA palee bila kusahau kuzamia graduu za shule za girls zote mkoa wa kilimanjaro,yaani ratiba zote tunazo kudadek alaf tunasubroia siku za kufunga scul ili upande nao basi moja au kama ni kwenda Marangu mpo nao kama,Old is Gold nimemiss sana lile chama aisee.Wap mademu wa weruweru,mawenzi,marygoreti,ashira,kibosho girls na bila kusahau Machame girls
 
aiseeehh!hadi niejiskia vbaya!
 
hehe.. nlikua natoroka usiku kwenda mjini kununua chips mayai sh1500 na kuja kuuza hostel kwa wanafunzi wenzangu kwa sh 2000
 
Hahahahaaa
 
Ilikua inaitwa KAKUNYU(Kampuni ya Kusomea Nyumbani), utakua mwana kiunga wewe
Kama umejua vile, kule kakunyu ilikuwa mahali sahihi sana kwangu. Umenikumbusha na KIMUKI. Hahahahaaa mwana kiunga na tanga ya teti.
 
Hahahaha kama namuona ticha alivyokuwa kaganda akitizama wowowo
Acha tu yani alitufaidi ila ndo tulikua hatuna namna mana fimbo zake akikutandika wiki nzima unakaa upande upande kwa maumivu, tukaona bora tumzawadie picha ya makalio tu
 
Aisee hamkufaidi kabisa,mbona sisi wale wa LOLEZA tulikuwa tunawakamatia vizuri tu!
Mkuuu nahisi Mwakasege itakuwa unamuelwa sana.. hahaha loleza wadda watamu sanaaaa wale
 
Mkuuu nahisi Mwakasege itakuwa unamuelwa sana.. hahaha loleza wadda watamu sanaaaa wale
Mkuu Mwakasege yupi? maana niliyekuwa namfahamu wa Iyunga 90s nimeambiwa he is no more.
 
nilikaa uhuru form v na nikakaa nyerere muhula wa kwanza 4m6 muhula wa pil sikuwa na kitanda wala so nlikuwa mtu wa kolabo
 
Sisi kuna dem alipigwa mtungo na dom zima la form six mpaka leo nawaheshimu wanawake.

Hilo godoro lilikua kama lililowekwa kwenye maji hapo kati.
alipona mkuu na vp alihama kw fedheha au ndio hardcore
 
kutoka out ni mpaka uumwe na hospital unapelekwa na gari la shule, so ilikuwa ni ukizoeana na dereva anakupeleka halafu anakuacha uzurule.

Wali wa leo unaweka mpaka kesho, ila kwa wazoefu wa hiyo fani anaweka hata siku 3.

Kuogea nje, mabafu yapo tena mazuri ila mtu unaona noma kuogea bafuni.

Siku tukinyimwa kuona mpira shule,af unakuta ndio EPL na UEFA zimekolea, tulikuwa tunavua t shirt tanajifunga usoni kama alshabab vile alafu tunaingia town kuona mechi hata tukutane na ticha hakuna kugeuka.
 
Daah huyu Lukas ana akili sana, kwa hili daah nampa heko!!
 
Nini kilifuata baada ya hapo? hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…