Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

1. Nilikata mwezi mzima bila kuoga nikapata chawa.

2. 4m1 tunaamshwa usiku na kulazwa kweny maji na kichapo cha mikanda.

3. Punyeto si haba, yalikuwepo mashindano usiku baada ya prep.

4. Kufuliwa nguo na madem zetu kulinifanya nisijue bei ya sabuni.

6. Mtungo ilikuwa habari ya mjini.

7. Kila sherehe kijiji tulihudhuria.

8. Wizi ndo vilikua vipaji.
 
Mie shuleni nilikuwa ni kama nimeoa vile kwani kila baada ya prepo nalala na demu wangu hadi majogoo kwenye uvungu wa bweni la wasichana (maana shule za Wacuba zina uvungu,haikuwa rahisi kutufuma kwani tulifanya siri mno
 
Sisi kuna dem alipigwa mtungo na dom zima la form six mpaka leo nawaheshimu wanawake.

Hilo godoro lilikua kama lililowekwa kwenye maji hapo kati.
 
Siku ya wali nyama usimamizi ulikuwa wa hali ya juu, staff yote:- walimu hadi wake na waume zao hadi walinzi walifika kusimamia zoezi la kugawa chakula, ingekuwa siku hizi FFU wangeletwa kusaidia, maana ilikuwa shida.
Hahahahaaaa aiseeee
 
Duh, basi mi nakumbuka tukiwa Old Moshi sec...
kwanza ni bifu tulilokkua nalo na Moshi tech...yani kuna siku tulitembea mpaka huko Moshi tech..kuanzisha vita tu!
Ila nakumbuka zaidi nilipoingia form one nikaitwa na majamaa (na walikuwa wakurya.. kutokana na lafudhi zao-afu nikakumbuka stori nlizokua nasikia kuhusu wakurya ati wakija kusoma sekondari ni wababa kabisa na wao vita ni jambo la kawaida kwao)
basi wakaniita nje ya bweni pale Hanang...wakanipa kiatu kinachonuka uvundo..wakasema nipige simu nyumbani nimwambie baba pesa zimeisha...kwa hiyo nikajifanya ninaongea na baba yangu. Basi nikatunga stori nilipokata simu nikawaambia amesema, atanitumia baada ya muda. Hivyo wakajifanya wana huruma sana...wakanipa shilingi mia, wakasema dogo kajinunulie maandazi na soda ila kabla hujanunua uje na maziwa na mkate mkubwa...duh! nilitoka jasho....
ilibidi niingie bwenini nichukue pesa zangu nikawanunulie...!!!!
tangu siku hiyo...mimi na njia ya hanang siendi...
sanasana nilikua natembea na wale majamaa vipofu, ukiwa nao hawakusumbui...hicho ndo kilichonisave....GUD OL' DAYZ....Auld Lang Syne...
 
Mimi niliitwa na jamaa fulani kama watatu hivi...wababe kwelikweli na walikuwa form III na IV, wakanionyesha mdada mmoja form IV wakaniambia ana jambo la kuniambia. Nilipofika kwake akaniambia..."nitongoze mpaka nikubali"!! Jasho lilinitoka haswa ukizingatia kwanza nilikuwa mdogo sana (of course maneno ningekuwa nayo, lakini unaanzaje kuyatoa katika mazingira hayo?). Basi nikaweka mgomo, wale jamaa wbabe walinipiga mkwara na kunirusha kichura kidogo. Wakaniambia nisipofanya hivyo nitatembezewa kichapo hadi sitasahau. Nikajitahidi kuunda maneno kweli naye akajifanya anakataa ili nimbembeleze zaidi, wale jamaa wakanichimba mkwara...we unamtongoza bibi yako? Njoo hapa!! nilitetemeka sana lakini waliishia kunicheka tu na kuniambia: "tulitaka kuona kama unayakumbuka maneno hayo..." wakaniachia nikaondoka...
 
Kwenda kuiba ndizi na maparachichi after classes.. Haha...boarding kila Saa unaskia njaa..duka linafunguliwa jmosi tuu..
2.Kuruka dirishani na kuingia lab usiku ili tu kutumia internet...computer yenyewe moja na tulikua watu wanne.

3.Kuagiza chips nje ya shule kwenye matobo ya ukuta...(watu wa vijijini waaminifu unakaa kwenye tobo unaita tu na chips unaletewa.)
Kibosho girls class of 2008
 
mkuu hyo tarime high school?
 
Tukio moja kubwa ninalo kumbuka , tulichapwa darasa zima na walimu wa shule nzima baada ya kuaribu kura kwa kuchora picha za katuni na kuandika majina ya walimu , ilikuwa ni kipindi cha uchaguzi wa viranjaa aiseeh zile fimbo , nazani kama kuna mtu yupo huku atakuwa shahidi , kwanza tuliwekwa pembeni nakumbuka ilikuwa form three, kila mwalimu akashika mzigo wa fimbo, huruma ilikuwa kwa wadada maskini hawakuwa hata na kosa coz wachoraji wa vikatuni na waharibu kura ilikuwa ni wanaume , aiseeh ile siku sita isahau...

Tukio lingine ni kumfungia kufuli jamaa mmoja alikuwa mmasai, kama mjuavyo wamasai waliokulia shamba hurefusha masikio basi tukamtaimu amelala tukapiga kufuli sikioni, jamaa kuamka asubuhi ana bonge la kufuli,
jamaa alipandisha mori mpaka tukaogopa kutoa funguo ilibidi likakatwe kwenye karakana ya shule.


Tukio lingine ambalo nakumbuka ile naingia form one tu siku ya kwanza , usiku wake majamaa ya form six yakatuamsha nyoya wote tuwaimbie “Mungu ibariki tanzania"mpaka walale.....yapo memgi ila hayo ni baadhi ila kwa kweli ambaye hajasoma boarding kakosa mengi hasa miaka ile yakwetu ambapo kama sio mbabe utateseka sana.
 
Kweli boarding ni kama Kambi ya jeshi,Nakumbuka kutoroka kwenda mtaani kukoshaaaaa.Jirani kulikuwa na chuo cha Masista/watawa cha kushangaza walikuwa wanapata mimba.Mimi nilikuwa naoga weekend tuu tena kukiwa na jua,Mama alikuwa anafanya kila mwisho wa mwezi nisomwe kwenye EMS(zile waliotumiwa hela waende kwa mhasibu/mwalimu flani).Hapo nilikuwa napata marafiki mwisho wa mwezi ukikaribia jamaa wanavizia mpungaaaaa.Boarding huko ndiko katika harakati nikasikia "niangusage sambi zako" tehtehteh faster unabambia unatoa maupwilili.
 
Tosamaganga nn mkuu
 
finyango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…