First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

9
Habari wakuu!

Niwapongeze wote waliochaguliwa vyuo mbalimbali Tanzania, You guys you have made it, Bingo!

Pia, niwape pole kwa waliokosa chuo, maisha ni safari na kila kitu kinasababu zake, tujifunze kushukuru kwa kila jambo.

Nimechaguliwa kusoma sheria, Chuo kikuu cha Dodoma, Namshukuru Mungu nikatimize ndoto.

Nawakaribisha wote humu, mkutane na watu mnaoendana kwa fani mlizochaguliwa, NETWORKING ni MUHIMU SANA.

Jitambulishe Chuo ulichochaguliwa na Course unayoenda kusoma.

Karibuni wote!
Kwa Sheria soma UD au TUMAINI iIringa (University of Iringa).

#YNWA
 
Wakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
 
Back
Top Bottom