First Lady..

First Lady..

Kadri navyofahamu mimi mwanaume anakuwa na wivu kwa mke wake, ama mwanamke anakuwa na wivu kwa mmewe.

Sasa hili la zomba kuwa na wivu na Dr. Slaa linanitatiza sana.
 
Last edited by a moderator:
Kadri navyofahamu mimi mwanaume anakuwa na wivu kwa mke wake, ama mwanamke anakuwa na wivu kwa mmewe.

Sasa hili la zomba kuwa na wivu na Dr. Slaa linanitatiza sana.

Tulisoma wote Sunday School, si unajuwa mapadri wa Sunday School wanatufundisha michezo mingi tu.
 
kwikwiwkiwkwiwkwi mambo ya kike hayo stockings hizo wacha ushamba au unamwambia afunue kasketi kidogo uthaminishe miguu na paja kwiwkiwkwiwkwi

Ntayajulia wapi hayo mambo ya kizungu mie wa kimanzichana hahahaaaaaaaaaaaa
 
huyu akiingia magogoni km first lady patakuwa hapatoshi, ni mtata anaonyesha
 
Baba maneno mazito haya. Sasa naconnect zem dotz! Aisee. Dunia imejaa uovu. Ngoja nimsake Paw wangu hajarudi hadi saa hii, usingizi hauji hapa.
Kadri navyofahamu mimi mwanaume anakuwa na wivu kwa mke wake, ama mwanamke anakuwa na wivu kwa mmewe.

Sasa hili la zomba kuwa na wivu na Dr. Slaa linanitatiza sana.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

nimependa soksi zake
 
Tulisoma wote Sunday School, si unajuwa mapadri wa Sunday School wanatufundisha michezo mingi tu.

dini inaingiaje hapo mkuu???

why do you always bring this bad side of you???
 
Kama kuna wakati hii nchi imefanikiwa kwa maendeleo kwa kasi zaidi basi ni huu, nioneshe ni kipi kilichofanyika wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa ambacho Kikwete hajakifanya zaidi yao?

TZ imefanikisha 'maisha bora kwa kila mtanzania' !!
 
Mr Stephen Wassira, a former Deputy Minister of Agriculture defected to the NCCR after complaining that money changed hands during the CCM candidate selection process at Bunda (Mara). He then won the seat for NCCR with 18,815 votes against former Prime Minister Joseph Warioba’s 17,527. Warioba has appealed to the High Court against the result.
 
Bila shaka naye atakuwa anajiandaa kufanya shopping ya vitu kama hivyo pindi Mzee wa M4C atakapochukua nchi.
Halafu kumbe mzee wetu anafaidi, guu guu, rangi ya chokolate sio mchezo, kwa staili hii ni lazima mzee atakuwa analala unono mpaka sera zinajipanga zenyewe kichwani.
 
Mkuu Boflo hiyo machine inaleta heshima, sio michina inayotuharibia mazingira tu, unaweza kunidokeza ni CC ngapi, bei yake na inapatikana mitaa ipi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom