First Lady..

Na Dokta ndiye alimpiga hiyo picha? maana huyo hajafikia kabisa kiwango cha kusafiri kama The True First Lady pamoja na Camera man.

Au Dokta alibaki Vatican, mamaa akaenda Uchina?
 
Mbona vifundo vya vidole rangi tofauti na mwili wake? anajikoroga? Mzee wa watu kaingia kichwa kichwa alifikiri ni natural.
 
Huyo 'natural' kabisa !! Check magotini ndio utaona. Angekuwa kajikoroga, magoti yangebaki meusi tii.
Ila uongo mbaya, kapendeza, haswa mrembo 'anawaka' !! Haswa na ile pete yake ya ndoa !!
 
Na Dokta ndiye alimpiga hiyo picha? maana huyo hajafikia kabisa kiwango cha kusafiri kama The True First Lady pamoja na Camera man.

Au Dokta alibaki Vatican, mamaa akaenda Uchina?

Wako pamoja, labda Dr. ndio alipiga picha hii.
Hawezi kuwa peke yake maana jinsi alivyopendeza, unaweza kukuta JK anaanza kukodolea macho na kumuomba namba ya simu !!
 
JK hachukuagi dizain hizo umbo ka tofali, mguu / tege km namba 11 ya Simba au Kabange
Boflo nimekuogopa huko ulikoifuma picha hiyo Hongera
 
Ushamba wa kufika Ulaya na kupiga picha madukani.

Hahahahahahaaaa zomba unasemaje?? Hukumuona mzee wa kupanda vibaiskeli vya kukokotwa na farasi na kupiga picha na masupestar huku nchi ikiwa na ombwe la uongozi? halafu sijui magogoni kuna kunguni? kesho utamsikia huyooooo.....
 
Last edited by a moderator:
Huyo 'natural' kabisa !! Check magotini ndio utaona. Angekuwa kajikoroga, magoti yangebaki meusi tii.
Ila uongo mbaya, kapendeza, haswa mrembo 'anawaka' !! Haswa na ile pete yake ya ndoa !!
hapo unataka kumchokoza Ritz na kaanzishia siredi kabisa leo kuhusu ndoa ya Dr slaa n ahuyo mamam anasema

nukuu:mungu atampigania mama yetu rose kamili-by Ritz
kwiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkiwkwwiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwk weekend njema ndoa ilishafungwa yeye anaanzisha siredi kwwkwiwkwiwkwiwkwiwkwi ushamba mzigo jamani bora ukatwe kichwa uulize njia lol,na aliyekutangulia mjini katangulia tu
 
Hahahahahahaaaa zomba unasemaje?? Hukumuona mzee wa kupanda vibaiskeli vya kukokotwa na farasi na kupiga picha na masupestar huku nchi ikiwa na ombwe la uongozi? halafu sijui magogoni kuna kunguni? kesho utamsikia huyooooo.....

Ile ni dhifa ya Kitaifa na gwaride la maaskari na mizinga 21 juu, si kigari pekee, unataka kulinganisha mbingu na kokoto?:

2012-10-03t204931z_871122130_gm1e8a40dd401_rtrmadp_3_canada-politics.jpg
 
Du Jose, job true true, wanawake wote wanafanana kwa tabia, kinachowatofautisha ni control ya wanaume walionao.
 
Ile ni dhifa ya Kitaifa na gwaride la maaskari na mizinga 21 juu, si kigari pekee, unataka kulinganisha mbingu na kokoto?:

2012-10-03t204931z_871122130_gm1e8a40dd401_rtrmadp_3_canada-politics.jpg
Kwa Mk.were hapo roho bariiiidiiiii.... huku nchi inaangamia... apigiwe hata mizinga mia moja sio issue ukweli utabaki kuwa he is a failure na hatukuwahi kuwa na uongozi dhaifu kama huu. thats all.
 
Kama kuna wakati hii nchi imefanikiwa kwa maendeleo kwa kasi zaidi basi ni huu, nioneshe ni kipi kilichofanyika wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa ambacho Kikwete hajakifanya zaidi yao?
 
Back
Top Bottom