BOKO HALALI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 278
- 74
aisha buhari,44yrs,utadhani mtoto mbichi na hapo amezaa watoto wa 5
/attachment.php?attachmentid=239734&stc=1&d=1427911593
halafu mzuri mashalllaaa
aisha buhari,44yrs,utadhani mtoto mbichi na hapo amezaa watoto wa 5
/attachment.php?attachmentid=239734&stc=1&d=1427911593
Udini utawauwa chadema
Uwiiii ode mbe
Huyu kikongwe afanane na huyu ntatembea uchi
Ipo kwa vile kila kitu ukizidisha na sifuri ni sifuri. Nina maana mwananke akiwa mbali (the distance is not zero) na kama humjui (kujua ni zero) then unapata uzuri. Kadri anavyokuwa karibu nawe unamwona wa kawaida na badaye kufeel ni nung'aembe wakati wasiomfahamu wanamtamani. Hii fomula ndiyo inahalalisha michepuko. Mara ngapi umeshuhudia msichana akiwa mbali unamuona ni mzuri ajabu (Beautiful Onyinye) lakini akikusogelea ndipo unaona na makovu, matege etcHiyo formula haipo kwenye ulimwengu wa Mathematics.
Buhari is 72 how come his wife looks so young
mashaallah mtoto mtamu
kama wa kwetu vile
Huyu ni mke wa tano buhari ana watoto kumi ila huyu aisha ana watoto watano .
Kwa sasa wamebaki wanne baada ya mmoja kufariki kwa sukari
na hili ndilo kosa kubwa kwa binaadamu walio wengi.
Kiukweli wengi wa wanaume humu jamvini hawampendi FaizaFoxy kwasababu ana wa-outsmart majority of them.
na kama kawaida mwanume akipata mwanamke anayeweza kumpiku basi kwa insecurity waliyonayo wataanza kumhumiliate ili tu huyu mwanamke afeel kuwa na low self esteem.
Imagine kama huyu ameweka nadhiri kwa kitu asichokijua na siku ikitokea akamwona sijui atafungia wapi uso wake.
I wish tungekuwa na wanawake kama FaizaFoxy 10 tu unyanyasaji wa kijinsia ungekwisha kabsa hapa TZ
i wish to come across with that reference!!Hakuna mwanamke mzuri mwenye roho mbaya au majibu mabaya sura ya mtu na roho yake iko hivyo hivyo,ukiangalia comments zake utabaini hata sura na roho yake vilivyo!
_kwanza ana chuki za kidini na kisiasa
Huyu ni mke wa ngapi? Itakuwa ni maajabu akiwa naye mmoja tu.
Tiba
Huyo ni mke wa ngapi? Wekeni picha ya mke wa kwanza
Ode mbe
Akifanana na huyu kikongwe wa jf natembea uchi
Huyo ni mke wa ngapi? Wekeni picha ya mke wa kwanza