mtamu umemuonja.....mashaallah mtoto mtamu
Jamani kama sijaelewa vile... Kwani Rais wa Nigeria si ni Goodluck Jonathan?? Huyu Buhari ni nani??
halafu mzuri mashalllaaa
Jamani kama sijaelewa vile... Kwani Rais wa Nigeria si ni Goodluck Jonathan?? Huyu Buhari ni nani??
hivi huyu mzee bado ana uwezo?, maana chuma hichi si mchezo
hivi huyu mzee bado ana uwezo?, maana chuma hichi si mchezo
acha kunywa viroba wewe.
Yupo kama M-Tz vile. Hebu tefuteni zaidi ni dada yetu nini?
Umejuaje ana mke mmoja? Huyo ana miaka 44 tu, na Buhari ana miaka zaidi ya 65 unataka kuniambia alichelewa kuoa namna hiyo?
Tiba
Huyu mama lazima kaajiri personal beautician na nutrionist.Hiyo tone ya ngozi ya uso si hivi hivi!
Huyo sifanani nae hata chembe, mimi ni mkubwa sana ki umri ukinilinganisha na huyo binti mrembo.
Uzuri wa mtu kwa Mwenyeezi Mungu ni ucha Mungu wake - Kumbuka hilo. Na mimi nna jadi ya uzuri.
Bibi yako vipi? ana jadi ya uzuri (ucha Mungu)?
Labda wa ethiopia ndio wanafanana nae visura vicuteee
Rais mpya wa nigeria. Yaelekea wewe si mfuatiliaji sana wa siasa za Afrika kwa ujumla.