First lady wa Nigeria

First lady wa Nigeria

Aaahh..angegeuka nimuone vizuri....mm hata mwanamke awe na sura kama Queen Sheba, kama hana makalio ya kuonekana vizuri, i mean awe na mkia wa haja au unaochomoza mm sivutiki au kumtaka ng'ooo...niwe wazi tu...i am obsessed na makalio then uso....!!!
 
Ana mke mmoja.
Buhari ana umri zaidi ya miaka 70 huyu ana miaka 44 huyu atakuwa mke mdogo,Wanaijeria huoa wanawake wengi na huyu nu muislamu si ajabu atakuwa na zaidi ya huyo hata bau Obasanjo alikuwa na mke mdogo mrembo aliyefia kitanda cha upasuaji akifanya upasuaji wa kuongeza urembo,tusisahahu hata hapa tuna mababu wameota mabinti waliochini ya miaka 35 na wao wako kwenye 70 ,muhimu mfukoni si uzee.
 
Back
Top Bottom