Akili. Yako km ya. Baba yako gwajima
Usiweke nadhiri ndugu humjui FaizaFoxy niulize mie
Jamani kama sijaelewa vile... Kwani Rais wa Nigeria si ni Goodluck Jonathan?? Huyu Buhari ni nani??
Daah umewaza nini mpk ukafananisha hivyo........kama faiza foxy
Wewe unajua umri wa yule babu ni 72 bado birthday ya mwaka huu hajafanya.Then unasema 1 wewe huyo ndio wa kupigia misele kwenye uprezidaaAna mke mmoja.
Wewe unajua umri wa yule babu ni 72 bado birthday ya mwaka huu hajafanya.Then unasema 1 wewe huyo ndio wa kupigia misele kwenye uprezidaa
Huyu ni mke wa ngapi? Itakuwa ni maajabu akiwa naye mmoja tu.
Tiba
Kwa hiyo jamaa kaoa akiwa na miaka 47.Unanidanganya mekuHao wengine labda wa siri. Ila anayejulikana ni huyo hapo ambaye alimuopoa akiwa na miaka 19. Unataka kuniambia ww ukiwa na uwezo na nguvu hauwezi kumchukua binti uliyemzidi miaka 28?
Kwa hiyo jamaa kaoa akiwa na miaka 47.Unanidanganya meku
Nilisikia ni mwanaume ati?Usiweke nadhiri ndugu humjui FaizaFoxy niulize mie
Sasa umegugo kwenye Wikipedia ambao nao wanaishi marekani.Ameoa akiwa na miaka 29. Mke wa kwanza waliachana na ameshafariki
Kuna msemo kuwa 'Distance times foolishness is equal to beuty' ukimkaribia utaona ni nung'aembe tumashaallah mtoto mtamu
Sasa umegugo kwenye Wikipedia ambao nao wanaishi marekani.
Yule ustadhi hata 4 ruksa kumbuka sijabisha kua yule sio mkewe.
Aisha Buhari,44yrs,utadhani mtoto mbichi na hapo amezaa watoto wa 5
/attachment.php?attachmentid=239734&stc=1&d=1427911593
Kuna msemo kuwa 'Distance times foolishness is equal to beuty' ukimkaribia utaona ni nung'aembe tu
Mbona mke wa Lipumba ni siri wewe?Mapenzi ni maisha binafsi tunajua serekalini official ni 1 sasa hao wengine labda kama ni mjomba ako ndio utamjua.Kwenye wake hakuna siri labda mechi za mchangani. Mbona Jacob Zuma ana wanne na hakuna siri?Mswati ana wake bila kujulikana idadi na hakuna siri?