Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,843
- 97,213
Halafu ananiuliza tena, we unamuelewa?Atakua na mafua makali.
Halafu ananiuliza tena, we unamuelewa?Atakua na mafua makali.
Mwaka huu ukiisha ntamrudisha Ringo stejiniOyaaa Mzee mwenzangu ile avatar ndio ilikuwa inakutambulisha vyema
Msamehe!Hapafu ananiuliza tena, we unamuelewa?
Mbona nishaeleza page ya kwanza kabisa! Hujaona?Msamehe!
Haya waeleze waheshimiwa majaji first date yako ilikuaje?
😂😂😂😂😂😂 but why?Mtakatifu Chica wa Tangibovu.
Na jina umtaje akome na kukoma kuvamiaUkiwa kiazi nakuanzishia uzi ndio😅😅
Kwai wewe serai mboa mgomvi saaHuna “n” kwa keyboard?
Ni kweli hata mimi hua inanitokea, ila najitahidi kurudi kwenye mawazo ya kawaida tu!kwasababu hisia zinakuwa zinajiludika tu unaweza kukubatiwa tu na mwanamke ukamwaga ukadhani unamatatizo kumbe hapana
Hahahahaaaa umenena vyema mkuuHuu uzi wa kimalaya malaya
Kuuliza si ugomvi 😎Kwai wewe serai mboa mgomvi saa
Jiandae kesho nikupeleke tena ukanywe urojoKuuliza si ugomvi 😎
sijui alinisaidia kulipa ada anataka kupigwa huyuKwai wewe serai mboa mgomvi saa
Anapenda maendeleo yako mkuusijui alinisaidia kulipa ada anataka kupigwa huyu
Huna uzoefu na hii dunia yetu ya kuvunja amri ile😂😂😂😂😂😂 but why?
Sijaona.Mbona nishaeleza page ya kwanza kabisa! Hujaona?