Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,633
- 40,983
Hujaona uzi wa huyo Me?Wewe unaamini kisa hiki?
Hujaona uzi wa huyo Me?Wewe unaamini kisa hiki?
Hahaha hauna huruma kabisa😂
Eeeh ila hakuwa anamjua kabla.Case yangu sio mtu wa JF
Hata hivyo nilivyomuelewa kamdinyo sio kwamba hakuvutiwa na sura/muonekano , bali tabia
Mwandiko wangu huu unakudanganya sana.Aisee tuwe tunaangalia na miandiko au nini? Alikutumia picha kwanza au ulisema bora liende?
Aisee kwanza hii tabia mliyoanzisha sikuhizi mpo kwenye maongezi mtu anaanza kudindisha, ni tabia mbaya sana!!
Si huwa mnasema hamtaki wanawake tegemezi? Kajitokeza ambaye hana mambo mengi mnadeka tena?Location umechagua wewe, eneo la kufika umewahi wewe kabla ya jamaa, vinywaji umeandaa, muhudumu umemuandaa wewe, zawadi sijui umeandaa wewe pia. Sasa hapo uanamke wako upo wapi?
Mwandiko wako unasemaje?😀Mwandiko wangu huu unakudanganya sana.
Yani mimi hata unifie hapo kama sijataka utajua mwenyewe! Ukizidiwa wahi kapige nyeto, yani muda wa maongezi ndio uanze ujinga! Kuwa na heshima🥸Dah! Muwe mnaona huruma sasa.
Hivi Unajua ikivimba hivyo na kulala bila kupizi inatuuma?.
Au you are too old kudanganyika na huu mtego?. 😊😊😊😊
Jogoo akikutana na tetea kwa mara ya kwanza anaingia bandani kwanza tetea anakua na wenge kwa hio jogoo hua hakopeshi ni kudaka na kupanda tu bila maelezo mengi na km kuna majogoo mengine nayo yanaunga tela na yenyewe yanampanda tena ukute yupo karibu kutaga atachezea mpaka aache mdomo wazi ni kupandwa tu siku nzima baada ya wiki kashakua mjamzito anaanza kutaga, ni nature sio kitu kingineWashenzi tu
Sasa wewe ni jogoo au umalaya tu unakusumbua?Jogoo akikutana na tetea kwa mara ya kwanza anaingia bandani kwanza tetea anakua na wenge kwa hio jogoo hua hakopeshi ni kudaka na kupanda tu bila maelezo mengi na km kuna majogoo mengine nayo yanaunga tela na yenyewe yanampanda tena ukute yupo karibu kutaga atachezea mpaka aache mdomo wazi ni kupandwa tu siku nzima baada ya wiki kashakua mjamzito anaanza kutaga, ni nature sio kitu kingine
Sasa kwanini uone kama mwamba alikuangusha kwa mapungufu Yako wewe ambayo kwako ni sahihi na kwa mwanaume sio sahihi hasa unapoongelea ishu nzima ya kuwa romantic na especially kwenye first date!? Ujeshi haukubadilishi jinsia, ujeshi haukubadilishi haiba ya kike, ujeshi haufanyi uwe in charge wa mahusiano, ujeshi haukufanyi usiwe laini asa long we ni mwanamke basi ulaini upo kwenye DNA ndo mana still unakojoa umechuchumaa, hujaipa uzito date umefanya imekuwa nyepeeesi ndo mana ikawa failed... grow up mtoto wa nyoka my weed.Rejea sijakulia maisha ya kawaida, most of time nimekulia kwenye mapori ya jeshi, huko huduma zote hutolewa na wanawake , huwezi kujuta mwanaume anaandaa chochote, lakini pia uwezo ninao wa kufanya chochote kukipa uzito ninachokitaka. Na yes nikikupenda naweza kukuhudumia kwakuwa ndio nilivyolelewa, kingine sina haiba laini ya mikogo ya kike, mimi ni mtoto wa nyoka. Sio laini laini.
Hilo ua na saa ulimpatia??Ua liliambatana na saaa nzuri sana na hili ulizingatie
Kudeka? Unadhani kwanini date imefail? Unadhani imefeli sababu jamaa kadindisha mwanzo mwisho? Na kama aliona jamaa kadinda kwanini moyoni asijisemee kwamba "jamaa limenielewa hili" halafu aset sasa mitego yake bila kuharibu momentum. Acheni ushamba nyieSi huwa mnasema hamtaki wanawake tegemezi? Kajitokeza ambaye hana mambo mengi mnadeka tena?
😅😅😅, lakini yote haya hayakumzuia kuonyesha patterns zake kwenye haiba ya kiume( kujiamini, kuwa mstaarabu, uadilifu) , sikumzuia, ningeyaona hayo mapema hadithi ingebadilika, kama nilivyosema hapo awali mwanaume anahudumiwa na mwanamke kama mtoto na si vinginevyo.Sasa kwanini uone kama mwamba alikuangusha kwa mapungufu Yako wewe ambayo kwako ni sahihi na kwa mwanaume sio sahihi hasa unapoongelea ishu nzima ya kuwa romantic na especially kwenye first date!? Ujeshi haukubadilishi jinsia, ujeshi haukubadilishi haiba ya kike, ujeshi haufanyi uwe in charge wa mahusiano, ujeshi haukufanyi usiwe laini asa long we ni mwanamke basi ulaini upo kwenye DNA ndo mana still unakojoa umechuchumaa, hujaipa uzito date umefanya imekuwa nyepeeesi ndo mana ikawa failed... grow up mtoto wa nyoka my weed.
😂😂😂🙌Sawa kwahiyo wewe ni single mother au double mother wa watoto wangapi?
Aisee kwanza hii tabia mliyoanzisha sikuhizi mpo kwenye maongezi mtu anaanza kudindisha, ni tabia mbaya sana!!