First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Kwa maandishi yake anajiona sana, bado binti mdogo sana huyu
Ni balaa sana..
kenyewe kana wenge sio poa, sasa kama mtu hajiamini and you know the reason, kwa nini usirekebishe confidence yake?..weka mwanaume sawa, jieleze wewe ni nani, unataka nini, tafuta kumfahamu kwa undani kwa dodoso technical, mwambie tu hufanyi ngono kwa first date, sikiliza msimamo wake kisha fanya maamuzi ya heshima...

Sema nyote mlikuwa na kaumalaya fulani kakitajiri

Mie first date, msituni..we had lot of fun balaa.
 
Ni balaa sana..
kenyewe kana wenge sio poa, sasa kama mtu hajiamini and you know the reason, kwa nini usirekebishe confidence yake?..weka mwanaume sawa, jieleze wewe ni nani, unataka nini, tafuta kumfahamu kwa undani kwa dodoso technical, mwambie tu hufanyi ngono kwa first date, sikiliza msimamo wake kisha fanya maamuzi ya heshima...
Sema nyote mlikuwa na kaunalaya fulani kakitajiri

Mie first date, msituni..we had lot of fun balaa.
Date sio sehemu ya kwenda kufanya conclusion ni sehemu ya kwenda kuanza kufahamiana. Ila mtoto hii ya nuku bee, unataka instant gratification
 
😅 Nikajua hataki kabisa kulombwa yaan ukae nae tu
Hajamanisha hivyo! Wanaume wengi wanakutana na mtu kwa kumjaribu, ukimchekea kidogo tu imo, sasa lazima mwanamke aoneshe msimamo wake kuwa yuko tofauti kidogo anahitaji jambo serious na sio huo ushenzi alokuja nao mwanaume au kijana mjinga!
 
Hajamanisha hivyo! Wanaume wengi wanakutana na mtu kwa kumjaribu, ukimchekea kidogo tu imo, sasa lazima mwanamke aoneshe msimamo wake kuwa yuko tofauti kidogo anahitaji jambo serious na sio huo ushenzi alokuja nao mwnaaume au kijana mjinga!

Huyu madam Yuko wapi nimsalimie.
 
First date nilipelekwa beach fulani kaliiii hapa Dar
Ilikuwa usiku

Shida ya yule kijana ni mafua, sijui ana allergy ya upepo wa bahari yule
Alikuwa na mafua mixer chafya za kutosha kiasi kwamba hisia zangu zikapotea kwa zile chafya

Enwei, nilipiga chini usiku ule ule
So sad,Ulimnyanyapaa
Sasa wengine,marashi makali tunapata mafua
🤣ULihisi ana umeme
 
Back
Top Bottom