acha kuanzisha thread za kitoto! sasa baada ya kumaliza hizo shule zenu utabandikwa nembo usoni kuwa wewe ulikuwa tanzania one! mm secondary nilipata madaraja mazuri tu ila chuo nikala pass 2.3 ,watu kama wewe walinicheka sana walifikiri mpaka maisha nitapiga pass! kumbe si hivyo bwana ,kuwa to ni historia tuHi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS
hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani gpa 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma to(tz one- top 20), wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita super humans
now dayz watu wanataka kuona umetengeneza mkwanja kiasi gani!watoto wako utawaachia urithi wa vyeti vya 1st class huku unavukishaga siku erroo?
Ninamfahamu ndugu yangu wa damu kabisa ambaye hajwahi kuwa to na pia aliscore div 3 form six but akaweka first class
Nyie bisheni mana hamjui ,mi naongea fact tu hapa, sijakurupuka usingizini kuyaongea haya. Evidence zipo, vilaza wajitambue mapema
​akili za kitoto hizo......zero thinkerHi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS
hadithi za uongo za kisekondari.....kwanza unajua TO 2008 alikuwa nani??....huku ni JF uwe unakuja na facts dada yangu....Pia usimsahau yule TO wa form6 2008,alidisco 1st year pale CoET