First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

Huyu jamaa c ni mwalim sa hz anahangaika tu mtaani..!!!

Noo karudi chuo..., Now yupo hapa UDSM. ni kweli alikuwa mwalimu na alitufundisha sisi kipindi tupo Tosamaganga form six... But now karudi masomoni na anapiga petroleum Eng. Jamaa still bado yuko juu na ni jembe anajua vitu huyo balaa
 
Okay.. mi mwenyewe alinfundsha advance, yuko vzur sema ana majungu sana
 
Acha upoyoyo wewe na mshahara uko hivyohivyo ??? Acha mawazo ya kichuo njoo mtaani upambane na changamoto za maisha.
 
TO gani ambaye hajapata first class?
•Mnawajua ma-TO wote kuanzia 1995-2008? Mie nawajua kama 8 hivi na Mmojawapo ni ZeMarcopolo (Jamaa kichwa na amepata first class),wengine siwataji ila wametoka Mzumbe/Kibaha na Ilboru,wengi naowajua wanakula maisha.....M1(A 10 olevo,A 3 alevo na 4.9 chuo) tu ndio alipata mitihani baada ya kumaliza chuo alikosa kazi kwa mda hivi akawa fustrated lkn baadae alipata kazi anakula maisha.
•Mie nilipiga One ya 3 Advance lkn sijabahatika kupata U -TO! Na Chuo kama kawa 1st class kwahyo nakubaliana na mtoa uzi,wengi waliopiga point3 wamepiga 1st class chuo.

T.O wa 2003 alitoka mzumbe anaitwa lusekelo kibona na alisoma computer engineering pale COET hajapata first class na alipata upper 2nd ya kawaida tu,wa mwaka 2006 sijui anaitwa kayombo yeye alidisco hasa..so msikariri maisha,alieongoza overall 2010 UDSM yote anaitwa salome na alisoma computer science na hakuwa na hata 1 ya 3 form 6,alieongoza ardhi 2003 overall alikua na GPA ya 4.9 au 5.0 kama sikosei anaitwa tumaini kabudi mtoto wa pofesa kabudi wa pale udsm na hata hakuwa na hata 1 form 6 zaidi ya 1 yake ya form 4..so msikariri sana.
 
Kuwajua wote hao kumekusaidiaje katika maisha yako
 
Kuwajua wote hao kumekusaidiaje katika maisha yako

nimewajua kwa sababu nina interaction nao,na nawajua physically sio kuhadithiwa,lusekelo amenifundisha wakti nipo advance,salome na tumaini nimejuana nao nao kwenye mishe za maisha,maliza kwanza huko sua uliko ndio uje mtaani utajuana na watu wengi tu wenye akili kama za kwako..maana ukiwa na akili finyu na rafiki zako itakua ni hao hao,hapo sua kuna walimu wako ukiwa tayari niambie nikuunganishe nao na watakwanbia mm ni nani?kwenye mambo ya elimu nimeshazunguka sana so nina experience tosha katika elimu..na nimewajua hao coz wote ni wasomi wenzangu ambao wana akili kama zangu...
 
Ha ha ha ha.....sawa
 
ina kaukweli flani,let take a simple example-someone by the name-martin chegele alianza u-to tangu primary 2000,then o-level maua 1-7 ,a-level pugu 1-3 na chuo-udsm 4.8 na bado upo masterz alifanya maajabu ktk course work anamalizia dissertation,hapo naona inawezekana ikawa hvyo lakini si wote.
"Lakini c wote" Hyo ndo point mkuu
 
Hi student?

Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20),

Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six.

Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS.
Pumba zinanuka hixi
 
TO gani ambaye hajapata first class?
Mnawajua ma-TO wote kuanzia 1995-2008? Mie nawajua kama 8 hivi na Mmojawapo ni ZeMarcopolo (Jamaa kichwa na amepata first class),wengine siwataji ila wametoka Mzumbe/Kibaha na Ilboru,wengi naowajua wanakula maisha.....M1(A 10 olevo,A 3 alevo na 4.9 chuo) tu ndio alipata mitihani baada ya kumaliza chuo alikosa kazi kwa mda hivi akawa fustrated lkn baadae alipata kazi anakula maisha.
Mie nilipiga One ya 3 Advance lkn sijabahatika kupata U -TO! Na Chuo kama kawa 1st class kwahyo nakubaliana na mtoa uzi,wengi waliopiga point3 wamepiga 1st class chuo.
Kihombo jeee 😹😹😹
 
Back
Top Bottom