Hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS

Nyie bisheni mana hamjui ,mi naongea fact tu hapa, sijakurupuka usingizini kuyaongea haya. Evidence zipo, vilaza wajitambue mapema
Another silly people!Una uzoefu na chuo ww ni Prof?umbumbumbu wako ndio uliokunyima first class ukatoka na gmen pass.Kwa hiyo unawashauri vijana wasitie bidii?Na kweli ww ni mwwanamabadiliko maana bado hujatoka ktk kundi la zinjathropas
mkuu umeongea kwel katik wote walionena..GPA wakati mwingine inategemea unasomea nini na wapi!
GPA wakati mwingine inategemea unasomea nini na wapi!
We need great thinkers like u
mkuu umeongea kwel katik wote walionena..
GPA wakati mwingine inategemea unasomea nini na wapi!
Mla vumbi na mkanyaga tope umkimbize nani wewe? Kakimbize mwizi kwa babu yako huko.
mm olv nilpata dvn one nzuri sana hata six, chuo nilienda na ndoto ya kupata first ile first year semister ya kwanza nikapa GPA 2.9, ndoto zangu zikaishia hapo.