Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,272
- 114,525
Endeleeni kunisikilizia hivyo hivyo😂Tunakusikilizia wewe 😄
Endeleeni kunisikilizia hivyo hivyo😂Tunakusikilizia wewe 😄
Nawe badili ID. Mashabiki wa Man U huenda wanakumendea. Ila sasa ID yako inasound kama kule daraja bovu.[emoji848]
acha kupoteza watu😂Tunakusikilizia wewe 😄
😂😂😂Nmekuelewa Bora umesema mapema[emoji23][emoji23][emoji23] kama yupo hata asijichoshe.
😆😆😆😆😆🤣🤣🤣Dada komwe, anzisha uzi. Nataka prints zibaki for future use.
Cha kufia niniKama upepo 😂
Watu wameamua liwalo na liwe.
😆😆😆😆😆Kumekuchaaaaaaaaa!!!! Watu wameamua sasa kuvunja ukimyaa, ni mwendo wa kufungukaaa tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF tuna 7bishaaaaaaaa!!!!
Kuna watu wanateseka sana nyuma ya keyboards wake kwa waumeCha kufia nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmekuelewa Bora umesema mapema
huyo ni dada yangu tunaheshimiana mno.....bado na wewe umwandikie Ms eyes
haha utakuja tu🤣Endeleeni kunisikilizia hivyo hivyo😂
Hakuna cha PM. Wenzako wanafunguka uchi, jukwaani. Kinakushinda nini wewe?😆😆😆😆😆
Fungua PM hiyo nizamie we kaka
unaandaa uzi wa yule kibonge mwepesi🤣Duh! Sweet naanda uzi wako na mie 😅😅😅
Nimependa msimamo wako utafika mbali.[emoji23][emoji23]