Tatizo letu hatupendi kusoma, na hii inaonyesha jinsi gani hoja zako hazitokani na utafiti wa kusoma bali mazungumzo; Vinginevyo ungekuwa unasoma (sio humu tu), nina amini kabisa kwamba mtazamo wako kuhusu changamoto za CCM ndani na nje ya chama ungebadilika; Vinginevyo nimekusoma mstari kwa mstari hata kwenye majibu ambayo umeelekeza kwa wengine lakini bado sijaona jipya, hivyo hoja zangu ambazo hauna muda wa kuzisoma, zitabakia kusimamia pale pale;- Nimeshindwa kusoma yote maana it is toolong daamn!
Kwa nini issue ya kujikosoa imo kwenye mwongozo wa CCM?- Mchambuzi ana nia moja tu nayo ni kujaribu kuuvuruga huu mjadala, maana mada inaongelea ishu tofauti na anazozisema, mimi nimewapongeza watetezi wa CCM online, yeye anasema nini sielewi kabisa, CCM ipo sawa sana mabishano ya makundi ndio Demokrasia yenyewe, tumekutana Dodoma na mambo yamekwenda powa sana!!
- Sasa tunajikosoa wapi? majuzi tu CCM tumeshinda Udiwani, tumewashinda Chadema mpaka Mwanza wameanza kurushiana viti, sasa hapa nani wanatakiwa kujikosoa walioshinda au walioshindwa udiwani?
I mean Kidumu CCM!!
Le Mutuz!!
- Powa now look, Slaaa amegombea Urais ameshindwa akaishia kupata kura yake mwenyewe, Mbowe pia akaishia kupata kura yake mwenyewe, Mtei aligombea na yeye akaishia kuapta kura yake mwenyewe tu, meaning kwamba wananchi hawawataki, Mama Kilango ni Mbunge wa Same East, Malecela ni Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, sasa utawalinganisha vipi na Viongozi losers?
- I mean sometimes sitaki kusema mnanilazimisha tu, huna hoja wala idea ya kinachosemwa hapa sasa wewe tulia pembeni, sasa unataka nisome mahojiano na Zitto ambaye wenyewe huko Chadema mmsema mko tayari kufa lakini hawezi kuwa mgombea wenu, wewe na wenzako Chadema hamtaki kumsikiliza lakini unataka mimi ndio nimsikilize? REally?
Le Mutuz!!
Haya maneno yamenifanya niamini kumbe kweli kaka ni umbo la mwili tu, ubongo haupo, nadhani ulichelewa kulia ulipozaliwa, no wonder kila unapogombea unapigwa chini.- ha! ha! ha! ha! ha!ETi least wananchi hapa wana uhakika kwamba mimi kiongozi wao wa Taifa sio shoga, maana siku hizi Dunia imeharibika sana mnachagua kiongozi wa taifa kumbe shoga! ha! ha! ha!
- But in me what you see is what you get, kudadeki yaani Kiongozi Rijali! ha1 ha! ha! ha!
Le Mutuz!!
- Powa now look, Slaaa amegombea Urais ameshindwa akaishia kupata kura yake mwenyewe, Mbowe pia akaishia kupata kura yake mwenyewe, Mtei aligombea na yeye akaishia kuapta kura yake mwenyewe tu, meaning kwamba wananchi hawawataki, Mama Kilango ni Mbunge wa Same East, Malecela ni Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, sasa utawalinganisha vipi na Viongozi losers?
- I mean sometimes sitaki kusema mnanilazimisha tu, huna hoja wala idea ya kinachosemwa hapa sasa wewe tulia pembeni, sasa unataka nisome mahojiano na Zitto ambaye wenyewe huko Chadema mmsema mko tayari kufa lakini hawezi kuwa mgombea wenu, wewe na wenzako Chadema hamtaki kumsikiliza lakini unataka mimi ndio nimsikilize? REally?
Le Mutuz!!
- Powa now look, Slaaa amegombea Urais ameshindwa akaishia kupata kura yake mwenyewe, Mbowe pia akaishia kupata kura yake mwenyewe, Mtei aligombea na yeye akaishia kuapta kura yake mwenyewe tu, meaning kwamba wananchi hawawataki, Mama Kilango ni Mbunge wa Same East, Malecela ni Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, sasa utawalinganisha vipi na Viongozi losers?
- I mean sometimes sitaki kusema mnanilazimisha tu, huna hoja wala idea ya kinachosemwa hapa sasa wewe tulia pembeni, sasa unataka nisome mahojiano na Zitto ambaye wenyewe huko Chadema mmsema mko tayari kufa lakini hawezi kuwa mgombea wenu, wewe na wenzako Chadema hamtaki kumsikiliza lakini unataka mimi ndio nimsikilize? REally?
Le Mutuz!!
- Wewe kauze mbao za baba fisadi!, yaani mpaka kicheefu chefu!! ha1 ha! ha!
Le Mutuz!!
Tatizo letu hatupendi kusoma, na hii inaonyesha jinsi gani hoja zako hazitokani na utafiti wa kusoma bali mazungumzo; Vinginevyo ungekuwa unasoma (sio humu tu), nina amini kabisa kwamba mtazamo wako kuhusu changamoto za CCM ndani na nje ya chama ungebadilika; Vinginevyo nimekusoma mstari kwa mstari hata kwenye majibu ambayo umeelekeza kwa wengine lakini bado sijaona jipya, hivyo hoja zangu ambazo hauna muda wa kuzisoma, zitabakia kusimamia pale pale;
= RIJARI!!
LE Biig Shoow!!
- Mchambuzi ana nia moja tu nayo ni kujaribu kuuvuruga huu mjadala!
Eti hili nalo ni Jembe la CCM Online ha ha haa
1. Mama Kilango amegombea Mara Mbili UWT na ameshindwa
2. Mzee Malecela ameshwahi kushindwa na akagombea tena
3. Mkuu Umesoma Mahojiano ya Zitto jana hapa JF au unaleta Hoja Peremende hapa
LoL!!!! Hahaha akili ni nywele hata Le Mutuz ana zake!!! Oooops!!! Nilisahau kama una upara kwa hisani ya watu wa America
🙂🙂 chezea njaa weye!!!! Mapovu yanakutoka kusifia uozo ndani ya magamba.
Samahani kwa hilo Kaka,
Kwanza sikujua kwamba nina uwezo huo; Pili sikujua kumbe mbali ya kutoa hoja, pia wewe ni moderator na unaona mjadala naupeleka kusipo takiwa; Basi nimekuelewa naacha kuchangia kwenye uzi huu, na naomba wale wote ambao nimewaudhi kwa njia moja ya nyingine mnisamehe; Niwie radhi kaka, ila kumbuka - huu ni mgongano tu wa mawazo, na msukumo wangu sio kitu kingine zaidi ya uchungu juu ya jinsi gani chama chetu kinazidi kupotea, huku sisi vijana tukipigia debe malengo ya wazee ambayo ni ya muda mfupi sana, kwani in 10-15 yrs watakuwa hawapo tena katika siasa za nchi hii na watatuachia chama mfu au chenye migogoro mikubwa zaidi ya hii;
Hoja zangu humu hata kama zitakuwa zimekuudhi, naomba uelewe tu kwamba zililenga kujadili jinsi gani tunaweza kukirudishia chama chetu cha CCM hadhi yake ya zamani, and in the process, mgongano wa mawazo ni jambo la kawaida; Nakuachia mjadala wako kwa moyo safi kabisa;
Alamsiki;
Mkuu Le Mutuz amekutaja kama Jembe la CCM online tena unasema hajaleta Mjadala wa Maana?
Mkuu jizuie kujibu posts nyingine. Mie mdogo wako sana lakini ni ushauri tu.
Haya maneno yamenifanya niamini kumbe kweli kaka ni umbo la mwili tu, ubongo haupo, nadhani ulichelewa kulia ulipozaliwa, no wonder kila unapogombea unapigwa chini.
Watu wengi wananitaja hata wewe mbona kila siku unanitaja hakuna ubaya Le Mutuz Big Show kunitaja...au anataka unitaje peke yako, ha ha haa...kuna Pro-Chadema mwingine jana kanifungulia thread.. Ritz, ni nouma.
Duh Mtei aligombea Urais? Hii Nimeipata kwa Le Mutuz Leo.