rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Ha ha haa Muulize Mnyika na Kubenea zile makala zao za 2008 dhidi ya Lowasa zilisema hivyo?Lowasa kipenzi cha watu
Ha ha haa Muulize Mnyika na Kubenea zile makala zao za 2008 dhidi ya Lowasa zilisema hivyo?Lowasa kipenzi cha watu
Mbona hizo tuhuma zoooote ni kama unamsema raisi aliyekaa madarakani na kuyafanya hayo uliyasema? Kama umeamua kumdharirisha mtu mtaje tu kwa jina lake direct badala ya kunguka na kupitishia tusi kwa mtu mwingine. Sema tu hivi; "Hivi kingetokea nini kama JK angeendelea kua rais wa Tanzania kwa miaka mingine 5 au 10" Ku predict ambacho kingefanywa na mtu mwingine ambaye hajaingia Ikulu kwa madhaifu yaliofanywa na umpendaye sio vizuri.
Ili kuukata mbuyu ama mti mkubwa ulioko karibu na nyumba yako lazima uwaze na kuchimba mizizi.Lowasa ana kesi ngapi mahakamani mpaka sasa?
Mbona hakuna shtaka hata moja analopambana nalo kisheria tofauti na majungu kama yako
huna jipya
Akili zingine bana kwa hiyo Marekani hamna umasikini?Tanzania ingekuwa kama Marekani,, umasikini ungebaki historia
This is satirical writting please elaborate further for some of us whose brains were not much developedEuropean Union wangeleta majeshi Tanzania kudhibiti madawa ya kulevya. Halafu mke wa Lowassa angeipamba Ikulu iwe nzuri zaidi.
ungesema na za sherehe ya ccm singidaKama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?
Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?
Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?
Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!
Mmerudi kwa kasi.Nikukumbuka Lowasa alivyoifilisi nchi hii hakika natamani kumpa makonde
"Sheria wanapanga wao, Sheria hiyohiyo wanavunja wao.. Watawala haohao wapinzani haohao... viongozi waheshimiwe & wananchi wadharauliwe "Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?