Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

watanzania tumekua wanafiki sana hivi unamwita vp mtu fisadi wakati hata mahakama imeshindwa kumtia hatiani? tunashindwa kuhoji ule wizi wa wazi kabisa wa mv dsm.kazi unafiki tu
 
Nimeshangaa sana kusikia kuwa wabunge wa UKAWA wanavaa shanga wakati wanaenda mjengoni.
Sangoma aliwatuma ili ........wavutie waume za watu bungeni au umesahau wengi wao ni ......mkuu pale bungeni akina dada zetu wa upinzani wanazo shughuli nyingi😎
 
Mkuu sasa ulichotuambia hapo juu ni nini? kama Lowassa (ambaye unamwita fisadi) alijiuzuru kwa sababu ya wizi wa mali za umma, mbona Muhongo naye alijiuzuru kwa wizi wa mali za umma bado JPM kamarudisha kuwa waziri? Unataka tueleweze niini katika mifano hiyo miwili yenye kufanana lakini yenye matokeo yanayotofautiana? Ilishasemwa na Aristotle miaka mingi iliyopita: "The validity of an argument can be determined by its structure rather than its content....." as long as the premises are true, the conclusion is also guaranteed to be true... ELIMU, ELIMU, ELIMU!
 
Katika watu ambao wanastahili kupuuzwa ni Saed Kubenea. Ameshakula sana vya Lowasa. Sasa ana kazi kubwa ya kumsafisha

Lizaboni sitaki kuamini kuwa nawe hujui kazi ya mbunge? Basi huko Lumumba Athari za UPE ndio maana chama kuifanya kinyume x2 KAZI YA MBUNGE NI KUHOJI.
 
Mkuu sasa ulichotuambia hapo juu ni nini? kama Lowassa (ambaye unamwita fisadi) alijiuzuru kwa sababu ya wizi wa mali za umma, mbona Muhongo naye alijiuzuru kwa wizi wa mali za umma bado JPM kamarudisha kuwa waziri? Unataka tueleweze niini katika mifano hiyo miwili yenye kufanana lakini yenye matokeo yanayotofautiana? Ilishasemwa na Aristotle miaka mingi iliyopita: "The validity of an argument can be determined by its structure rather than its content....." as long as the premises are true, the conclusion is also guaranteed to be true... ELIMU, ELIMU, ELIMU!

Ninachotaka ukichukuwe kwa siku hii ya leo ni kwamba Mb. Kubenea (chadema) hana uhalali kote Duniani na Mbinguni wa kuhoji uteuzi wa Waziri Muhongo kwa maana Chama chake cha kilaghai cha chadema kilimptisha fisadi Lowasa nje ya utaratibu wa chama ambaye Dunia nzima inamtambua kama ni mwizi wa mali ya Umma, na kwamba Umaskini wa nchi hii kwa kiasi kikubwa umesababishwa na fisadi Lowasa, leo hii hatuna Umeme kwa sababu ya ufisadi wa Lowasa &Co. na matokeo ya kukosa Umeme ni makubwa sana kiuchumi na kijamii!

Leo hii tunalipa mamilioni kila siku kwa ajili ya ufisadi uliosababishwa na Lowasa &Co. na huyu ndiye mtu ambaye Chama cha Mb.Kubenea (chadema) kilimuona anafaa kuwa Raisi wa nchi yetu, mtu ambaye sehemu kubwa ya matatizo ya TanZania yamesababishwa naye, mtu ambaye Kubenea mwenyewe kwa miaka mingi tu amekuwa akituaminisha WatanZania kwamba ni fisadi, mimi nimeelimishwa kwa kiasi kikubwa kuhusu ufisadi wa Lowasa na Kubenea kupitia Gazeti lake Mwanahalisi, sasa mtu huyo huyo leo hii alimuunga mkono kugombea uraisi na bado ndiyo mwenye sauti kwenye chama chake, hivyo ninachotaka kusema ni kwamba Kubenea hana uhalali wa kuhoji Uwaziri wa Muhongo, ni rahisi kihivyo tu!
 
Huyu mzee wa vyupi na shanga niwakupuuzwa tu hana lolote analoweza ongea akashtua nafsi zetu huyu huyu vigazeti vyake miaka yote vilituhabarisha lowasa, lowasa, fisadi fisadi ushahidi anao kumbe mchimba chumvi tu kama anaushahidi wa mhongo kua alishiriki kwenye ufisadi huo ni vyema ushahidi huo apeleke mahakamani.
 
Amuache muhongo, aanze kumsafisha zito kwanza maana walimshutum sana
 
Ni mambo ya ajabu sana Mbunge wa Ubungo (chadema) amemshangaa Rais Magufuli kumrudisha Wizara ya Madini Waziri Muhongo akidai kwamba alijiuzuru kutokana na kashfa ya escrow, lakini hashangai Chama chake cha kilaghai na kitapeli CHADEMA kumkaribisha Lowassa ambaye ni fisadi mkubwa si ajabu aliyewahi kuishi Tanzania tangu kuanzishwa kwake ambaye Uwaziri Mkuu wake ulisitishwa kwa wizi wa mali ya umma na ambaye Chama chake cha CCM kilimzuia kugombea Urais kwa kutokuwa na sifa kutokana na wizi!

Lakini Chama cha Kubenea (CHADEMA) bado kilimkaribisha na siku hiyo hiyo ndani ya masaa machache kikampa bila ya kushindanishwa kinyume na taratibu hata kwa standard ya chama cha kitapeli kama CHADEMA nafasi ya kugombea Urais, ina maana kama ingetokea miujiza CHADEMA kingeshinda Uchaguzi leo hii tungekuwa na Rais ambaye Dunia nzima inamtambua kwamba ni mwizi na alijiuzuru kwa sababu ya wizi wa Mali ya umma, sasa Kubenea anapata wapi hata uhalali wa kuhoji Uwaziri wa Muhongo?
Bandiko la kipuuzi hili! Unamhusishaje Lowassa humu? KYaani Kubenea asihoji uchafu wa baadhi ya watu kisa tu Lowassa yuko Chadema? Mmezoea kuwajengea watu woga wa kipuuzi na hii ndio maana wabunge wengi wa CCM ni mambu mbu yasiyojua kureason.
 
Katika watu ambao wanastahili kupuuzwa ni Saed Kubenea. Ameshakula sana vya Lowasa. Sasa ana kazi kubwa ya kumsafisha
....lusinde alishamaliza kwa kutabanaisha kwamba waliomchafua lowasa wana kazi ya kudumu ya kumsafisha...
 
Huyu mzee wa vyupi na shanga niwakupuuzwa tu hana lolote analoweza ongea akashtua nafsi zetu huyu huyu vigazeti vyake miaka yote vilituhabarisha lowasa, lowasa, fisadi fisadi ushahidi anao kumbe mchimba chumvi tu kama anaushahidi wa mhongo kua alishiriki kwenye ufisadi huo ni vyema ushahidi huo apeleke mahakamani.
Hivi Mzee Msekwa naye anamiliki magazeti?
 
Chenge asingekuwa mwenyekiti wa bunge wala nape waziri! Angekuwa lowasa tungekuwa tayari na mpango wa maendeleo wa miaka mitano
 
Kwa Lowasa hiki anachofanya Magu ni cha mtoto. Tungelishuhudia mabadiliko ya kasi tena bila kutumia magufu kama anavyofanya Magu. Halafu lazma kuwa systematic, siyo kila kukicha unatoa jambo jipya bila kufanya analysis ya lile la jana ni kwa kiasi gani umefikia au kukaribia lengo.
wafanyabiashara marafiki zake wote wangeshakuwa mabilionea. friends of Lowa
 
Matapeli yangekanua meno yanyonge ndo wangi ndo wangeoja kutokusikilwa na aridhi ingemilikiwa na mabepari
 
Rekebisha kauli Sema fikiria lowassa asingeibiwa kura angekuwa wap sahz[emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom