Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,200
- 3,603
Kingunge angekuwa Waziri Mkuu
Kikwete alikuwa kwenye list of shame mbona hukuuliza?post za Jf bana! povu limekutokaje, eti bora lowasaa? ha ha ha ha ha ha watanzania sio wajinga kihivyo, tutampigia kura lowassa endapo tu siku mtatuambia kwa nn mlimuweka kwenye list of shame
Ni mawazo ya kijinga labda kutoka kwa kaka au Dada poa tu!Lowasa ameibiwa kura.....so Mungu anatoa adhabu kwa wote.
ukweli una nguvu kubwa kuliko uongo mkuu,elewa hiloSema kama sio kuchakachua matokeo..
Tena lowassa huyuhuyu fisadi papa alopigiwa kelele na upinzani usiku na mchana, sirini na hadharani. Leo eti ni rais wa mioyo ya watanganyika. Napata taabu kuelewa akili zetu.eti hooo! Ccm wakimsimika lowassa kugombea urais wakapimwe akili. UKAWA mmepimwa akili?Hiyo Serikali ya Lowassa unayozungumzia ni kwa vigezo gani umeipima mpaka kusema ingekuwa ni bora zaidi ya hii ya JPM?
Last time I checked wanasema Lowassa ni Rais wa mioyo ya Watanganyika lakini sijui makao makuu ya mioyo yenu ni wapi?
Utakuwa ujaitendea haki akili yako kwa kusema bora Serikali ambayo haijawai kuwapo kulinganisha na kitu ambacho kipo linganisha Serikali hii na Serikali zilizopita kama ya JK, Mkapa, Mwinyi, na Sr Jk
Wewe inaonekana uelewa wako finyu sana kuhusu uendeshaji wa Serikali. Kama vimemo na maelekezo ya Richmond asingevitoa yeye binafsi na wakatoa wasaidizi wake tungesema amewajibika kiofisi. Lakini alitoa maelekezo na vimemo yeye binafsi akiwa na Cheo cha Waziri Mkuu.Lowasa aliwajibika/wajibishwa sio kama lowasa bali kama kiongozi.kama alitajwa alitajwa kama kiongoz .that means ama serkali na clue yake walifanya kosa basi wasingetajwa viongoz wote lazima mtu awajibike..huo ndio uongozi...look
Leo askari akiua bila utaratibu maalum wazir wamambo ya ndani anaweza kutakiwa kujiuzulu,je huyo wazir ndie alieua?
Embu acheni kuwa na mawazo membamba!
Nina mashaka na vyeti vyako! Kama umefikia hatua hata ya kutokujua nani alichakachua kura basi wewe utakuwa unatokea ukanda ule wa koromije.Lowasa asingekuwa na jipya tofauti na kupongezana kwa kazi kubwa ya kuchakachua kura na kugawana wizara na mipango ya kwenda kujitambulisha nchi za nje, fisadi hana huruma, na Lowasa hakuwahi kuwa na huruma na hakuna siku atakuwa na huruma kwa watz, na ndo maana kura zake hazikutosha, ss wameanza siasa kwa kutumia kifo cha Mawazo. Watz wameshachoka na UKAWA kwa sasa, kwani wamepata Raisi bora na si bora Raisi.
Nimefuatilia chat hii kwa makini nikafika kwa caption hii. Hata hawa wengine pro CCM pamoja na Mayalla (nadhani Mayalla ameweka gear ya kurudi kwa JPM kama alivyokuwa anafanya Kitilla) kuwa CDM wanafanya makosa kutaka kwenda mahakamani kutafuta tafsiri. Hao hao inapotokea uvunjifu wa maadili au sheria na JPM hao hao wanasema kwa nini hamuendi mahakamani !!! Angalia caption hapa juu. Leo kuna watu wanadiriki kumwita Lowassa eti ni "zimwi usilolijua" mayalla, wakati Lowassa akiwa PM alisimamia Ujenzi wa Sekondari za Kata nchi nzima. Edo alisimamia Ujenzi wa UDOM. Najua angeendelea kuwa PM angefanya makubwa zaidi; leo Mayalla unamwita EDO zimwi usilolijua kweli. Tuseme ukweli unawezaje kumfananinsha Edo na JPM!!!Post yako haina mashiko, hivi kwa akili yako ndogo unadhani Lowassa atakuja kuwa Rais wa nchi hii? Ni Tanzania pekee ambapo asiye na vyeti vya shule anadai vyeti vya mtu mwingine. Ukiona hujatendewa haki basi nenda mahakamani kadai hivyo vyeti usitusumbue hapa, tena acha hizo tabia za Kisambaa za kusema eti Watanzania hatudanganyiki, sema kwa nafsi yako na hayo majungu yako yasiyo na kikomo
Elimu ingekuwa bure mpaka chuo kikuu,makato ya bodi ya mikopo yangeondolewa badala ya kuongezwa asilimia 8,bei ya sukari ingekuwa 1800 badala ya sasa,watumishi wa umma july 2016 wangecheka kama kawa na july ijayo 2017 wangecheka kuliko ilvyo sasa hawana matumaini kama watacheka au maumivu yataongezeka na zinaweza kuongezeka asilimia za bodi mpaka 25% you never know.niishie hapo.Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?
Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?
Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?
Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!