THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Tungeshapigwa mnada.
hivi na yeye amepigwa stop kusafiri nje ya nchi, ama wakati ule alikuwa anasafiria pesa zake maana tangu baada ya uchaguzi sijasikia kama ameenda Ulaya tena!Afadhali , Lazima watanzania wote ifike mahali wamuelewe rais Magufuli. Hawa vibaraka wa Mafisadi wao hakuna haja ya kuwabembeleza, ni kuwatia kitanzi sawasawa
Wangekuwa, lakini siyo. Jibu zuri tu.Simple ccm wangekuwa wapinzani
halafu hali ingekuwaje kama SUGU ndo spika wa bunge? Makelele yakipigwa anawaonyesha kidole!!Simple ccm wangekuwa wapinzani
Bange ingehalalishwa kuwa kitafunwa wakati wa chai katika bunge la Jamhuri.halafu hali ingekuwaje kama SUGU ndo spika wa bunge?
waliopumzika wapo makaburiniMwacheni mzee apumzike. Kama mnataka ajira njooni awape kazi
hahahaha Lema nae angepewa eneo pale nje ya bunge afungue clubBange ingehalalishwa kuwa kitafunwa wakati wa chai katika bunge la Jamhuri.
Goodlack angeomba muongozohalafu hali ingekuwaje kama SUGU ndo spika wa bunge? Makelele yakipigwa anawaonyesha kidole!!
angeupataje wakati spika haoni zaidi ya mita 2 wakati huo?Goodlack angeomba muongozo
Hahahaha! MarafikiTungeenda vizuri sana Lowasa alijiandaa kuwa Rais tena urais ulikuwa sahiz YAKE alikuwa na marafiki wengi wakimataifa
Kwanini?kwa njia ya miujiza siyo? Hahaha kwanza Rostam ndo angekuwa PM na ikulu ingehamia Monduli. Tungekuwa tuna hali mbaya hadi tukome!