Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Sibonike acha kunichana mbavu zangu,kwamba ktk huo ukaguzi wa Chachandu mh kavua miwani usoni au kazilegeza ili iwe rahisi kuziona,Kwa kweli kuna vitu ambavyo havitamkiki kirahisi tena mbele ya kadamnasi ya watu au Waheshimiwa wabunge la nchi kubwa yenye watu wanaokadiriwa kufikia milioni Hamsini,inahitaji Kujichetua akili kidogo ili kuondoa aibu,ni kama kujamba ushuzi lazima ujiangalie uko wapi,jee hapa niuachie mzima mzima kwa kishindo au niubane bane,ila ukiona mtu anaachia ushuzi kwa kishindo mbele ya watu lazima ujiulize mara mbili mbili mwenzetu huyu vipi au ni kile Ki-baiskeli cha miguu mitatu ambacho watoto wakiona mwenzao kaletewa na wazazi wake basi nyie nyoote mnakidandia ili kukiendesha.
 
Wengi wanajiuliza hivi wazo la kuanzisha UKAWA lilitokea wapi?

Nianze historia kidogo.Wayahudi walikuwa ni watu wasiopenda siasa kabisa.Walijikita tu kwenye biashara.Walikuwa ni wafanyabiashara wakubwa mno nchi za Ulaya hasa ujerumani.Hitler mwanasiasa katili alipoibuka na kuwaua zaidi ya milioni 60 wakaamua kujitosa kwenye siasa wao na wakawa ndio waasisi wa mfumo ambao unasema anayemiliki njia kuu za uchumi ndiye anatakiwa ashike dola (utawala wa wachache wenye pesa kutawala walio wengi wasio na pesa)

Tanzania kuna makabila mawili makubwa ya wafanyabiashara.Makabila hayo ni ya Wachaga na wapemba.Na hawa ndio makabila ambayo sehemu kubwa za biashara za wazawa zimeshikwa na wao katika nchi.Na wengi wao mfano wachaga chama chao ni CHADEMA na Wapemba chama chao ni CUF.

Kwa hiyo viongozi wakubwa wa vyama hivyo walikaa wenyewe kwa siri wakaona sasa ni wakati muafaka wa nchi kushikwa na wafanyabiashara walioshika njia kuu za uchumi ili washike vyote uchumi na utawala.Ndio wakaamua kuanzisha UKAWA.Waliupa jina la UKAWA kuzuga kujificha mbele ya macho ya watanzania wasione nia ovu iliyokuwa nyuma ya mpango wao.Tuvyama twingine twa akina Mbatia na makaidi tuliingizwa tu kama bendera fuata upepo maana tulikubaliana mwishoni kwa kupewa tusenti twa kujikimu.

Baada ya kuuanzisha UKAWA wakaona watafute mfanyabiashara mkubwa LOWASA agombee uraisi lakini uamuzi huo ulikuwa wa siri watu wasio wafanyabiashara walio vyumba vya ndani (inner circle) kama Lipumba na Dr.SLAA hawakushirikishwa kwenye vikao vya siri mwanzoni wakaja tu kusitukizwa matajiri wafanyabiashara wa kichaga na kipemba walishamaliza yote kuwa mgombea ni LOWASA asiyetaka aondoke.Slaa na lipumba ambao hawana hata mradi wa kuuza nyanya chungu ikabidi watupwe nje ya mfumo wa matajiri wa UKAWA .

UKAWA wangefanikiwa nchi ingekuwa chini ya wafanyabiashara matajiri wanaojiamulia walipe kodi au wasilipe na hakuna jipu hata moja lingetumbuliwa na wasio kuwa nacho wangekiona cha mtema kuni.Mungu MKUBWA kaepusha nchi na UKAWA.
 
Magu ashajua watanzania walio wengi wamechoshwa na sera za ccm na ndo maana hawakuichagua ccm, ndo maana ameamua kubadililka na kufanya tofauti na matakwa ya ccm ili angalau wananchi warudishe imani.

likewise Lowassa angekuwa waziri naye angetumbua majipu tu, maana sisi wanaukawa ndo tulichokuwa tunataka ili serikali iweze kuwa na makusanyo yanayotosheleza ku-finance projects zake
 
KIBOKO cha ccm ni
3300ce54c9bdd3c00e4f6e2a7c00d5ed.jpg
Huyo ni kiboko cha chadema na Mbowe wenu,
Amewafanya mlaaniwe na wapenda mageuzi kote nchini, na hamna huruma mmemkimbiza mzee slaa nje ukimbizini.
Shame on you all[emoji613]
 
Ni swali tu nawauliza wadau kwamba Lowasa angeshinda nafasi ya Uraisi, leo hii tungekuwaje? Ama hii nchi ingekuwaje? Kipi unadhani kipya tungekuwa nacho?
 
Ccm wangekuwa wanajua jinsi ya kusolve equations lakini sasa wote tunaisoma namba
kuna kitu watu wanashindwa kukielewa, ukiwa mgonjwa ili upone lazima upate maumivu kidogo, so kama ni sindano huwezi kusema kwakuwa yeye ni daktari basi akichomwa sindano haitauma! Nchi ilipokuwa imefikia, ili ipone inabidi tuumie kidogo hakuna cha nani wala nani. Hata ingekuwa ni upinzani, tena ndo tungeumia zaidi maana ni kama unachomwa sindano na daktari ambaye siyo mzoevu.
 
Ni swali tu nawauliza wadau kwamba Lowasa angeshinda nafasi ya Uraisi, leo hii tungekuwaje? Ama hii nchi ingekuwaje? Kipi unadhani kipya tungekuwa nacho?
Masomo/shule zingekuwa bure kuanzia chekechea(nursery) mpaka chuo kikuu(university) kama enzi za Mwalimu Nyerere, pili kila mtu angekuwa na hela mfukoni(tajiri). Hakuna kamatakamata ya wahujumu uchumi!!!! sasa wengi wanaisoma namba kwani Rais Magufuli anapenda haki, mcha Mungu, siyo wengine waishi kama malaika na wakati majority wananyanyasika.
 
Masomo/shuke zingekuwa bure kuaznia chekechea(nursery) mpaka chuo kikuu(university) kama enzi za Mwalimu Nyerere, pili kila mtu angekuwa na hela mfukoni(tajiri). Hakuna kamatakamata ya wahujumu uchumi!!!! sasa wengi wanaisoma namba kwani Rais Magufuli anapenda haki, mcha Mungu, siyo wengine waishi kama malaika na wakati majority wananyanyasika.
Umemjibu vyema.
 
Back
Top Bottom