Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
Tisher sana magufuli
Nimeshangaa sana kusikia kuwa wabunge wa UKAWA wanavaa shanga wakati wanaenda mjengoni.Kubenea mzee wa shanga sijui aliwaona vipi wamevaa wabunge wa ukawa
Nikukumbuka Lowasa alivyoifilisi nchi hii hakika natamani kumpa makondeBado unamuwaza Lowasa
hata wewe unaweza kumuhoji hili ni taifa letu soooote km mtu kakwiba asihojiwe kisa nnn vyeo vyenyewe hivi vya kupeana yaani mtu anafahamika kabisa kwa upupu wake unamfunika na uwaziri halafu unahoji kuhojiwa kwake??? nonesenseNi mambo ya ajabu sana Mbunge wa Ubungo (chadema) amemshangaa Rais Magufuli kumrudisha Wizara ya Madini Waziri Muhongo akidai kwamba alijiuzuru kutokana na kashfa ya escrow, lakini hashangai Chama chake cha kilaghai na kitapeli CHADEMA kumkaribisha Lowassa ambaye ni fisadi mkubwa si ajabu aliyewahi kuishi Tanzania tangu kuanzishwa kwake ambaye Uwaziri Mkuu wake ulisitishwa kwa wizi wa mali ya umma na ambaye Chama chake cha CCM kilimzuia kugombea Urais kwa kutokuwa na sifa kutokana na wizi!
Lakini Chama cha Kubenea (CHADEMA) bado kilimkaribisha na siku hiyo hiyo ndani ya masaa machache kikampa bila ya kushindanishwa kinyume na taratibu hata kwa standard ya chama cha kitapeli kama CHADEMA nafasi ya kugombea Urais, ina maana kama ingetokea miujiza CHADEMA kingeshinda Uchaguzi leo hii tungekuwa na Rais ambaye Dunia nzima inamtambua kwamba ni mwizi na alijiuzuru kwa sababu ya wizi wa Mali ya umma, sasa Kubenea anapata wapi hata uhalali wa kuhoji Uwaziri wa Muhongo?
Naona mapovu tu. Kubenea ni mbunge, wewe ni typist. Nadhani hadi hapo unaweza kuona nani walau anaweza akahoji hilo na kusikika kwa urahisiNi mambo ya ajabu sana Mbunge wa Ubungo (chadema) amemshangaa Rais Magufuli kumrudisha Wizara ya Madini Waziri Muhongo akidai kwamba alijiuzuru kutokana na kashfa ya escrow,..
ila Muhungwa ndiye mwenye kesi si ndiyo.... acheni manenoLowasa ana kesi ngapi mahakamani mpaka sasa?
Mbona hakuna shtaka hata moja analopambana nalo kisheria tofauti na majungu kama yako