Morocco kuomba kuandaa Kombe la Dunia 2030

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,268
5,368
Morocco ikifanikiwa katika mchakato huo wa Kombe la Dunia 2030 itakuwa Nchi ya pili kwa Afrika kuandaa michuano hiyo baada ya Afrika Kusini Mwaka 2010.

Hiyo ni mara ya 6 kwa Morocco kuomba kuwa mwenyeji wa michuano hiyo lakini safari hii wanatarajiwa kuomba waandae kwa ushirikiano na Hispania na Ureno.

Mwezi uliopita, Argentina, Chile, Paraguay na Uruguay ziliomba kuandaa kwa ushirikiano.

Mambo ya awali yanatarajiwa kufanyika Juni 2023 na majibu yantarajiwa kutoka miezi 13 baadaye.
---

Morocco to bid to host World Cup
Morocco hopes to become the second African nation to host world football's premier tournament, announcing its intention on Tuesday to bid for the 2030 World Cup. It will be the sixth time the country has aimed to host the competition.

This time though it will mount a joint bid with Spain and Portugal, according to the BBC's Piers Edwards at the Fifa Congress in Rwanda, where the announcement was made.

Last month, Argentina, Chile, Paraguay and Uruguay put in a joint bid. They hope to host the tournament 100 years after the first edition was held in Uruguay.

Morocco won fans across Africa and the world for its spirited performance at last year's World Cup in Qatar, finishing fourth and becoming the best-ever ranking African side.

The formal bidding process starts in June and we'll have to wait at least another 13 months after that to find out if Morocco will get to welcome the world to its shores.

The first African World Cup was held in South Africa in 2010.

Source: BBC
 
Kwanini yaandaliwe na nchitatu? wazungu wanapenda kujaribu mambo mapya kila siku na mengine ni ya ovyo tu. Nchi moja iandae mashindano inatosha.
 
Inawezekana nchi tofauti kuandaa kwa wakati mmoja kama kipindi kile Korea na Japan
 
Hawa wavaa kobazi wanajiona wazungu zaidi kuliko uafrika.
 
Kwanini yaandaliwe na nchitatu? wazungu wanapenda kujaribu mambo mapya kila siku na mengine ni ya ovyo tu. Nchi moja iandae mashindano inatosha.
Ni gharama mno kwa nchi moja. Kuanzia 2026 mataifa yatakayoshiriki yameongezwa kutoka 32 hadi 48

Kama kwa mataifa 32 tu Qatar ilitumia zaidi ya $220bn ambayo ni sawa na Trillion 450 kibongo-bongo, niambie kwa mataifa 48 ni nchi ngapi zitaweza kumudu hzo gharama.

Sasa nchi moja kumudu gharama za kuhost world cup lenye nchi washiriki 48 pamoja na mashabiki wao ni kubwa sana na mataifa mengi yatashindwa ndomana FIFA wakafanya iwe nchi tatu tatu.

2026 wataandaa USA wakishirikiana na Canada pamoja na Mexico.
  • USA itahost 60 matches
  • Canada itahost 10 matches
  • Mexico itahost 10 matches

Nchi tatu kuandaa kombe la dunia kuna faida kuu mbili, kwanza itapunguza gharama na pili mataifa mengi yatapata nafasi ya kuandaa... Mfano Tanzania, Kenya na Uganda siku tukijakuwa na pesa tunaweza kuungana na kuomba kuandaa.
 
Hawa wavaa kobazi wanajiona wazungu zaidi kuliko uafrika.
Na hiyo sababu ndo inafanya wanyimwe.... Kombe la dunia linatakiwa lizunguke kila bara, mfano
  • 2010 limetoka Africa (S. Africa)
  • 2014 likaenda South America (Brazil)
  • 2018 likaenda Europe (Russia)
  • 2022 likaenda Asia (Qatar)
  • 2026 litaenda North America (USA, Canada & Mexico)

- 2030 linatakiwa lirudi Africa na hosts wawe waAfrica, sasa hawa wavaa kobazi wanataka kututenga wakashirikiane na wazungu kuliandaa. Ni afadhali ata wangesema wajiunge Morocco, Egypt na Tunisia au Algeria
 
Morocco ikifanikiwa katika mchakato huo wa Kombe la Dunia 2030 itakuwa Nchi ya pili kwa Afrika kuandaa michuano hiyo baada ya Afrika Kusini Mwaka 2010.

Hiyo ni mara ya 6 kwa Morocco kuomba kuwa mwenyeji wa michuano hiyo lakini safari hii wanatarajiwa kuomba waandae kwa ushirikiano na Hispania na Ureno.

Mwezi uliopita, Argentina, Chile, Paraguay na Uruguay ziliomba kuandaa kwa ushirikiano.

Mambo ya awali yanatarajiwa kufanyika Juni 2023 na majibu yantarajiwa kutoka miezi 13 baadaye.
---

Morocco to bid to host World Cup
Morocco hopes to become the second African nation to host world football's premier tournament, announcing its intention on Tuesday to bid for the 2030 World Cup. It will be the sixth time the country has aimed to host the competition.

This time though it will mount a joint bid with Spain and Portugal, according to the BBC's Piers Edwards at the Fifa Congress in Rwanda, where the announcement was made.

Last month, Argentina, Chile, Paraguay and Uruguay put in a joint bid. They hope to host the tournament 100 years after the first edition was held in Uruguay.

Morocco won fans across Africa and the world for its spirited performance at last year's World Cup in Qatar, finishing fourth and becoming the best-ever ranking African side.

The formal bidding process starts in June and we'll have to wait at least another 13 months after that to find out if Morocco will get to welcome the world to its shores.

The first African World Cup was held in South Africa in 2010.

Source: BBC
Kabla ya yote uwanja wetu aliotuahidi mfalme wao uko wapi
 
Ni gharama mno kwa nchi moja. Kuanzia 2026 mataifa yatakayoshiriki yameongezwa kutoka 32 hadi 48

Kama kwa mataifa 32 tu Qatar ilitumia zaidi ya $220bn ambayo ni sawa na Trillion 450 kibongo-bongo, niambie kwa mataifa 48 ni nchi ngapi zitaweza kumudu hzo gharama.

Sasa nchi moja kumudu gharama za kuhost world cup lenye nchi washiriki 48 pamoja na mashabiki wao ni kubwa sana na mataifa mengi yatashindwa ndomana FIFA wakafanya iwe nchi tatu tatu.

2026 wataandaa USA wakishirikiana na Canada pamoja na Mexico.
  • USA itahost 60 matches
  • Canada itahost 10 matches
  • Mexico itahost 10 matches

Nchi tatu kuandaa kombe la dunia kuna faida kuu mbili, kwanza itapunguza gharama na pili mataifa mengi yatapata nafasi ya kuandaa... Mfano Tanzania, Kenya na Uganda siku tukijakuwa na pesa tunaweza kuungana na kuomba kuandaa.

Qatar walitumia zaidi ya $220 kwa sababu walitaka kutumia, mana nchi haikuwa kwenye condition ya ku host kutokana na miundo mbinu yake, ni nchi ndgo yenye mzunguko wa watu kidogo. Lakini nchi yoyote kubwa isingeweza kutumia hata nusu ya hizo hela.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom