Kesho hapa jamvin tutakuwa wachache sana, maana leo wengi wenu mliopo huko Fiestani mtaibiwa sana hizo Tecno zenu.

Kule sifungui kabisa YoungHivi kule bado umefunga milango?
Acha roho mbayaKule sifungui kabisa Young
Pole sana mkuu hizo mambo ndio siziwezi nipo zangu naangali vizuri tu kwenye tvShunie wewe upo wapi, mimi niko huku mbele nimeona nikikaa nyuma sioni vizuri watu wananiziba na simu zao walizozinyoosha juu...
mtoto wa dokta shikaHuyu anayepiga makelele jukwaani muda huu ni nani?
Ha ha naona mfalme sele kapanda stejin..ila wanachoimba hata hakisikiki..mtoto wa dokta shika
Ahahahh kweli labda mm ndio nije kwako ila kule hakufunguliwi kabisaAcha roho mbaya
Basi fanya hivyoAhahahh kweli labda mm ndio nije kwako ila kule hakufunguliwi kabisa
Sawa nitakujaBasi fanya hivyo
Atapanda baada ya Alikibamakonda kashapanda...?
Ooouuwwhh jaman bas mimi nilijua upo huku angalau tufarijiane kwan huku kila mtu ana mzuka.... Na mimi kila nikijitahid siwez piga kelele, yaan hata msanii akisema tuimbe wote mimi siimbi kwa kuwa nimetoa hela yangu ili yeye aniimbie... Nikajua upo nikutafute tuwe tunapga vistori kidogo kidogo vya hapa na palePole sana mkuu hizo mambo ndio siziwezi nipo zangu naangali vizuri tu kwenye tv



Ha ha naona mfalme sele kapanda stejin..ila wanachoimba hata hakisikiki..
Mtafute miss natafutaOoouuwwhh jaman bas mimi nilijua upo huku angalau tufarijiane kwan huku kila mtu ana mzuka.... Na mimi kila nikijitahid siwez piga kelele, yaan hata msanii akisema tuimbe wote mimi siimbi kwa kuwa nimetoa hela yangu ili yeye aniimbie... Nikajua upo nikutafute tuwe tunapga vistori kidogo kidogo vya hapa na pale
Tupia hata kapicha basi,sisi wwngine tv tayari mwenye nyumba ashaizima.Maua sama amevaa nguo kama Kifurushi cha tigo fiesta mxeeew