Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Wakuu kwaanaejua hivi watarusha hewani hiyo Fiesta? Maana wengine tupo inje tz
 
Nimesndwa vumilia nimeona nijisogeze tu maeneo ya fiestani.... Duuuuh nmemkuta madee yupo jukwaani... Anaimba sijui nani amelewa... Nikaogopa kwann anauliza hivo na pale ni burudanini kwani kulewa nako si burudani wacha watu waleweee had waleweane
 
Madee kamrushia dongo ROMa

Eti siku hizi haimbi nanii
Sababu walimteka alafu wakamnanii
 
Back
Top Bottom