Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,855
- 27,024
Kweli watu wana hela ndo maana wanajaa kwenye kampeni.
Noted mkuuMAZWAZWA ndivyo walivyo Mkuu.
zwazwa aka popoma.MAZWAZWA ndivyo walivyo Mkuu.
Kumbe kufurika kwa watu fiesta uchumi umekua? Ukiwa na cherehani 4 kiwanda.Kitendo cha jana watu kufurika fiesta kinaonyesha Magufuli hajabana na uchumi unaenda vizuri , kinyume na inavyohubiriwa na mawakala wa shetani kwamba uchumi umesinyaa na wananchi hawana hela mfukoni.
Hivi mwananchi kama hajala kabisa na hana hela mfukoni ,je hela ya kuingilia huko fiesta ataitoa wapi??
Hii ni aibu kubwa sana kwa chadema.
Kwan watu wa lumumbwa wanagawa pesa?Unataka kukasirisha wananchi wavivu wasiopenda kutafuta pesa... eeeeeh
Nimeshaona mapovu yakiwatoka wengine...ha ha haaaa
Kwahiyo kwa akili yako ya lumumbwa uchumi umekua?Ufipa tu ndio hali mbaya
Kiingilio 10000+ 10000 ya bia + 2000 nauli total =22000.Kitendo cha jana watu kufurika fiesta kinaonyesha Magufuli hajabana na uchumi unaenda vizuri , kinyume na inavyohubiriwa na mawakala wa shetani kwamba uchumi umesinyaa na wananchi hawana hela mfukoni.
Hivi mwananchi kama hajala kabisa na hana hela mfukoni ,je hela ya kuingilia huko fiesta ataitoa wapi??
Hii ni aibu kubwa sana kwa chadema.
Watu kujazana fiesta ni kigezo cha uchumi kuwa mzuri??? Kama ulisoma ulipoteza ada bure.Kitendo cha jana watu kufurika fiesta kinaonyesha Magufuli hajabana na uchumi unaenda vizuri , kinyume na inavyohubiriwa na mawakala wa shetani kwamba uchumi umesinyaa na wananchi hawana hela mfukoni.
Hivi mwananchi kama hajala kabisa na hana hela mfukoni ,je hela ya kuingilia huko fiesta ataitoa wapi??
Hii ni aibu kubwa sana kwa chadema.
kiba amewai kuishi kariakoo gerezani...miaka gani hiyoBlue na kiba uzito wa mbali sana
Kiba kasome kwa blue ndio kakufundisha mziki wewe na abby Skills wako wakati unakaa kwenu kule kota za bandari kariakoo gerezani