Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Asante mkuu nimejua labda ni uzee wangu nilionao kwanza siwajui nyimbo mbayaaaaaaMrembo upo sahihi kabisa hawa wasanii wa mwanzo wote ni mashudu tu hamna kitu
Asante mkuu nimejua labda ni uzee wangu nilionao kwanza siwajui nyimbo mbayaaaaaaMrembo upo sahihi kabisa hawa wasanii wa mwanzo wote ni mashudu tu hamna kitu
UzeeSijui ndio uzee mbona hawa walioanza kuimba nyimbo mbayaaaaa
Hata me naonaUzee
Karibu basi fiesta tushushe ZanziHata me naona
Usiniambie upo huko halaf hiko kinywaji kimenishindaKaribu basi fiesta tushushe Zanzi
Niko namcheki Fid Q hapa....wewe utakunywa fanta usijali.Usiniambie upo huko halaf hiko kinywaji kimenishinda
Tatizo la Zanz huwa zinakimbilia chini sijuwagi kwa nnUsiniambie upo huko halaf hiko kinywaji kimenishinda
Acha kudeka mkuu wewe sema huna usingizi tu,....usingizi ukiwepo hata kwenye boda boda utalala.Mimi nipo hapa kinondoni kwangu nashindwa kutuliza akiri na kupumzika baada ya mizunguko ya mchana kutwa kwani nasikia makerere ya misauti ya miziki kutoka huko kumbe, ni hilo fiesta... Dah bora mkuu angezuia tu watu tupate muda wa kupumzika kwa hiyo leo sitapata usingizi kabsa.... Ila sio mbaya mwaka ujao haitafanyika tena hapo.....
Ahahahh mambo za fiesta na me tofauti fujo huko nipo hapa naangalia clouds plus rosaree kapendeza nimependa kivazi chakeNiko namcheki Fid Q hapa....wewe utakunywa fanta usijali.
Kumbe ndio zipo hivyo me hakipandiTatizo la Zanz huwa zinakimbilia chini sijuwagi kwa nn
Ndiyo maana nazipenda.Tatizo la Zanz huwa zinakimbilia chini sijuwagi kwa nn
Pole sana aisee...live ndiyo inanoga.Ahahahh mambo za fiesta na me tofauti fujo huko nipo hapa naangalia clouds plus rosaree kapendeza nimependa kivazi chake
Niko na aleji na masauti ya miziki huwa napenda utulivu... Yaani hata kama Nataka kusinzia mtoto akikohoa tu bas usingiz unakata kabsa hadi nianze kuutafuta tena..... Sasa na kwa hayo mamiziki ndio sitalala kabsa...Ahahahh mambo za fiesta na me tofauti fujo huko nipo hapa naangalia clouds plus rosaree kapendeza nimependa kivazi chake
Navuta tu ulivyo bada ya kuniambia upo fiestaniPole sana aisee...live ndiyo inanoga.
Pole sanaNiko na aleji na masauti ya miziki huwa napenda utulivu... Yaani hata kama Nataka kuzinzia mtoto akikohoa tu bas usingiz unakata kabsa hadi nianze kuutafuta tena..... Sasa na kwa hayo mamiziki ndio sitalala kabsa...
Hahahaha,unapata picha ganiNavuta tu ulivyo bada ya kuniambia upo fiestani