Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Naona wanaamua kupoteza muda baada ya kuruhusiwa kukesha, wabongo bhana!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Yule mkolomije alitaka hii saa 6 kasoro watu tuanze kufikiria kuondoka nyambafffff
Muhudumu ongeza glass
 
Mimi nipo hapa kinondoni kwangu nashindwa kutuliza akiri na kupumzika baada ya mizunguko ya mchana kutwa kwani nasikia makerere ya misauti ya miziki kutoka huko kumbe, ni hilo fiesta... Dah bora mkuu angezuia tu watu tupate muda wa kupumzika kwa hiyo leo sitapata usingizi kabsa.... Ila sio mbaya mwaka ujao haitafanyika tena hapo.....

watu wanalala club na makelele yote ndo iwe ww wa kinondoni, najua unataka kufutahisha kadamnasi ila ni wazi huna usingizi.
 
Back
Top Bottom