Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Ahahahh mambo za fiesta na me tofauti fujo huko nipo hapa naangalia clouds plus rosaree kapendeza nimependa kivazi chake
Hivi rozaree ndio kale kadada kembamba kenye midomo myeusiii na kuna wimbo kameimba kama matusi hivi... Nlisikia kama kanasema... One for mother f.ck.r.....sijui kalikuwa kanamaanisha nini
 
23825051_1836476386424687_5282786151759872000_n.jpg

Rosa ree.. TheBaddesT..
Female Rapper...
Totoo ya Ar
 
Hivi rozaree ndio kale kadada kembamba kenye midomo myeusiii na kuna wimbo kameimba kama matusi hivi... Nlisikia kama kanasema... One for mother f.ck.r.....sijui kalikuwa kanamaanisha nini
Ndio huyo huyo
 
Mimi nipo hapa kinondoni kwangu nashindwa kutuliza akiri na kupumzika baada ya mizunguko ya mchana kutwa kwani nasikia makerere ya misauti ya miziki kutoka huko kumbe, ni hilo fiesta... Dah bora mkuu angezuia tu watu tupate muda wa kupumzika kwa hiyo leo sitapata usingizi kabsa.... Ila sio mbaya mwaka ujao haitafanyika tena hapo.....
Kinondoni hapakufai hamia Kolomije tu
 
Back
Top Bottom