Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Hivi Bella yupo hapo? Namiss kuona show yake. Christian
 
Omydimpoz jaman poooh joto LA dar anavaa sut anajikutaga handsome huyu ashukuru kiba anamlindia nyotaaa poooh na suruali sjui kitenge mwenyewe anaona katoka poooh nyota yake kidogo ipotee sjui ulienda kuoga kwa babu gani mxeeew
Kumbe wabongo tuko na akili zetu umestukia mchezo anaocheza huyu mtu
Joto kali msuti....huo na style yake yakudandia watu chibu alimstukia akampiga chini mapema akapotea kwenye ramani
 
Ah ah ah ah ah ah ah Sasa Mume Wako Hapo Anahusika Vp

Mi Nashida Na Wew Uyo Jamaa Acha aendelee Kukoloma Tuuuuu

Ooh jamani mke mwema lazima atoe taarifa.. na kwanza unafikiri amelala.. mmmmh inaonekana umekuwa mwanafunzi wa Mshana Jr kuanza kuwanga unazurura na ungo usiku.. kwa hili umekosea.. 😀
 
Tatizo mond hawezi fanya show za mchangani eti. Ameshakua yule sio level zetu tena
Yeah halafu contract inamzuia Tigo na Vodacom yake hatakiwi ku perform hapa sema wabongo wanapenda lawama za bure
 
Kumbe wabongo tuko na akili zetu umestukia mchezo anaocheza huyu mtu
Joto kali msuti....huo na style yake yakudandia watu chibu alimstukia akampiga chini mapema akapotea kwenye ramani
Hawez huyu anatembeleaga nyota za watu bila hivyooo putuuuuu chali
 
Nasikia tu Dar es Salaam, mara Yoooo mara Tuimbe wote sioni lolote hapo labda Ben Paul aje na ile midundo yake ya Zamani kidogo atawagusa wengi.
Kiba watu washamuona michosho.
Nilisemaga hapa Kiba anasafiria bifu la diamond kuwepo hapo alipo, lkn kiba ilikuwa zaman
 
Back
Top Bottom