Fiesta imezidiwa hata na Msiba wa yule Nani?Ukweli fiesta ya mwaka huu inaboa mbaya....wakina ruge walitaka kuonesha vitu vipya sasa ndo wameharibu...hakuna amshaamsha tupo tu utadhan tuko sinema
Ukweli mtupuWalah Mkichukua Wazee wa Zamani mkawapa hilo Jukwaa hata wale waliopo nyumbani watakuja.
Nije Tuwe PamojaSijalala nasinzia mie mtoto wa ndani.. naangalia fiesta mida hii nione kinachojiri.. baada ya kuangalia TBC.
Nasikia tu Dar es Salaam, mara Yoooo mara Tuimbe wote sioni lolote hapo labda Ben Paul aje na ile midundo yake ya Zamani kidogo atawagusa wengi.Huyu naye si aondoke?
Hahahahahaha kwa nn mkuuAli kiba atasubiri sana kwa Dai
Yaani ni kufanya comparison tembo na sisimizi
TBC unaangalia nini sasaSijalala nasinzia mie mtoto wa ndani.. naangalia fiesta mida hii nione kinachojiri.. baada ya kuangalia TBC.
Hivi Harmonize amefanya show hata moja tangu fiesta hii ianze?Yupo mavoko hajapanda bado
Ngoja J3 Watu Utaona Watakavyo Ipamba Moto Kwa UzurFiesta ya kisengee hii
King Of Vocale HahahaaaaIla tuacheni utani Kiba yuko vizuri sana