Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Nafikiri ni nyimbo mpyaHii nyimbo ndo imewaamsha watu
Nafikiri ni nyimbo mpyaHii nyimbo ndo imewaamsha watu
AiseeFiesta imezidiwa hata na Msiba wa yule Nani?
Nafikiri ni nyimbo mpya
Iko vizuri sanaKafanya na Patoranking kwenye Coke studio
Mchovu sana hajui ana to prove rightHahahahahaha kwa nn mkuu
Pole mkuu tuunge mkono vya kwetuFiesta ya kisengee hii
Na skendo ya kupumuliwa pia inamsaidiaHuyu Ommy kinachomuweka mjini ni kuwa karibu na Kiba tu
Sababu Gani Iliyo Sababisha Iyo TenaHivi hapo kuna watu kama ngapu vile?
Hlf nasikia Kiba alikuwa kagoma kupanda stejini
Ben pol kaja na maigizoNasikia tu Dar es Salaam, mara Yoooo mara Tuimbe wote sioni lolote hapo labda Ben Paul aje na ile midundo yake ya Zamani kidogo atawagusa wengi.
Alikuwa anamwangalia hawara yake Bashite a.k.a GireTBC unaangalia nini sasa
Mpk sasa aliepiga show mbovu ni vanesa
KeshakujaDimpozi njoo mkamilishe
Kaenda kuchosha mwili ili akilala alale kama Msukule wa ChattleMi sioni Kiba anachokifanya hapo,
Hapa nawasubiri ROSTAM tu nikalale
Hajafanya alifanya rayvanHivi Harmonize amefanya show hata moja tangu fiesta hii ianze?
Yeah sahihi kabisa.... Wewe mfuatiliaji mzuri safi kabisaKafanya na Patoranking kwenye Coke studio
Kweli ngoja akiingia bwanamdogo AslayMchovu sana hajui ana to prove right
Unaimba kiswahili na ameshindwa kuiimbisha audience
Mamii Umemsikia Screpa Alivyo Kutania Huko Juu....???Kivipi?