paparazimkuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,082
- 1,429
Ila huyu Ommy naona kama kaja kumuharibia mwenzake
Nije Tuwe Pamoja
Mke wa Dr Shika alikuwa anawaza Nyumba zao za Lugumi kaja kama MzukaMpk sasa aliepiga show mbovu ni vanesa
Huo wimbo waliperfom vizuri sana na PatoYeah sahihi kabisa.... Wewe mfuatiliaji mzuri safi kabisa
Ah ah ah ah ah ah ah Sasa Mume Wako Hapo Anahusika VpKaribu sana sana tu ngoja nimtaarifu mume wangu tukusubirie.. saa ngapi utafika?
Hahahahahaa Umenikumbusha Mbali Sana SANDUKU!Hili koti la Ommy kama yupo kwenye Sanduku
Mamii Umemsikia Screpa Alivyo Kutania Huko Juu....???
Kiba anatakiwa abadilike kwa kweli ama sivyo domo ataendelea mkimbizaMsanii kufanya show ni investment kiba anataka aonewe huruma wakati hata hajajipanga
Dai pasua anga ....navuta picha chibu angewavuta madada wote mbele huku wanang'ata midomo wengine wakianguka chali
#NoTz_mercy
Aiseee,una roho mbaya sana kumbeKaribu sana sana tu ngoja nimtaarifu mume wangu tukusubirie.. saa ngapi utafika?
Achana Nae BhanaNimemuona mengine nimeyapita tu 😀
Tatizo mond hawezi fanya show za mchangani eti. Ameshakua yule sio level zetu tenaMsanii kufanya show ni investment kiba anataka aonewe huruma wakati hata hajajipanga
Dai pasua anga ....navuta picha chibu angewavuta madada wote mbele huku wanang'ata midomo wengine wakianguka chali
#NoTz_mercy
Iv Una Mimba Mamii.....???Omydimpoz jaman poooh joto LA dar anavaa sut anajikutaga handsome huyu ashukuru kiba anamlindia nyotaaa poooh na suruali sjui kitenge mwenyewe anaona katoka poooh nyota yake kidogo ipotee sjui ulienda kuoga kwa babu gani mxeeew