Sawa sawaBand wanajitahidi ila Back vocalz wamechoka
Wanini tena mkuuYoung blood mtafute young killer
Tunaondoka hapa na kokoriko[emoji239]Mpaka asubuhi
Wazee wa kuamsha waliolalaMi sioni Kiba anachokifanya hapo,
Hapa nawasubiri ROSTAM tu nikalale
Afanye yake piaWananini tena mkuu
Hivi kuna msanii yeyote wa wcb kapiga show Leo?Huyu naye ni misifa yake si atatoka hapo saa kumi?
Naona umuhimu wa wasafi hapo
Hajasajiliwa mwaka huuAfanye yake pia
Wamemkimbia King [emoji146]Hivi kuna msanii yeyote wa wcb kapiga show Leo?
Yupo mavoko hajapanda badoHivi kuna msanii yeyote wa wcb kapiga show Leo?