Recho na Q chillah wanazeeka kwa speed usicheze na ngadaRecho kapooza kweli unga mbaya loh
Walikuja Badilisha Mpaka MajogoooBibie Grace Mugabe
Huyu Vanessa kama homa za vipindi vile kuna wakati namuona mzuri kuna wakati namuona kama bibi..

Leo unamuonaje
Picha basi mkuu acha roho mbayaVanessa hilo alilovaa kichwani yan kafanana na kuku Yale majogooo ya singida poooh
Wangefika mbali ila wangejua umuhimu Wa mababu zetu wamuuulize diamond kwann haachi kusifia tandale putuuuuu![]()
hiyo ndio shida, yao ila mpaka wakija shtuka kumesha kucha mda sana
Amewakera watu wengi sana huyu jamaaPicha basi,mimi Tv yangu jux amesababisha nimeivunja!
Mtt Mzur Hulal TuuuUnamsubiri nani akupe updates za kilichojiri huko?
HiiiiiiiiiiiiiihYule aliyeiba vyeti
Bora na wewe umeliona hiloVanessa hayo manywele mbona yanaficha kiuno chake.. eti wanaume mnakiona au!?
Kuna mida niliona wachina wanarap jukwaani kupitia ETV, sijui ndo wale madokta waliokuja na meliMsafara wa Grace Mugabe nasikia ving'oraa kwa mbalii?
Hivi lile tamasha la Efm la bure halijafanyika?
Kitoke tu hichi ki Vanessa sauti hakina kucheza hakijui halafu kinaombwa kirogwe kumbe kisharogwa tayar
Mkimroga tena huyu ni kumuonea tu kesho utamkuta tandale anaokota makopoMkuu utanisamehe kiukwel pic hata siwez kupata kiurahisiPicha basi mkuu acha roho mbaya
Ukinipa pia itakuwa vizuri bibieUnamsubiri nani akupe updates za kilichojiri huko?
Wapi Grace Mugabe?Vanessa hayo manywele mbona yanaficha kiuno chake.. eti wanaume mnakiona au!?
