Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,029
- 3,245
Vanessa hayo manywele mbona yanaficha kiuno chake.. eti wanaume mnakiona au!?
Kaka ako kasema mwisho saa ngapi?
Vanessa hayo manywele mbona yanaficha kiuno chake.. eti wanaume mnakiona au!?
Hmna tamasha wala nini na kama lipo labda wameenda panya roadMsafara wa Grace Mugabe nasikia ving'oraa kwa mbalii?
Hivi lile tamasha la Efm la bure halijafanyika?
Mm nahisi ni ambulance tu bi Grace leo kafelii na huwa anafeliii kila missionMsafara wa Grace Mugabe nasikia ving'oraa kwa mbalii?
Hivi lile tamasha la Efm la bure halijafanyika?
Anafanana na mananasi ya kiwangwa poooh manywele na nguo hata hayafanani na hilo kichwan poooh sjui ndo nnVanessa hayo manywele mbona yanaficha kiuno chake.. eti wanaume mnakiona au!?
Yule alijiongeza mapema baada ya kuusoma mchezoWangefika mbali ila wangejua umuhimu Wa mababu zetu wamuuulize diamond kwann haachi kusifia tandale putuuuuu
Kuna mida niliona wachina wanarap jukwaani kupitia ETV, sijui ndo wale madokta waliokuja na meli
Leo amezingua sanaAmewakera watu wengi sana huyu jamaa
Mtoto ameona niko macho ameamua aje anisalimieMtt Mzur Hulal Tuuu
Kabisa ndo maana anapendwa
Kuna mida niliona wachina wanarap jukwaani kupitia ETV, sijui ndo wale madokta waliokuja na meli

Hongera Kwa HiloMtoto ameona niko macho ameamua aje anisalimie
Kwel ngoja Akapumzimke sasa vmoneyKabisa ndo maana anapendwa