Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Mwaka huuu poooh amepoooza na Dodoma walimfukuza jukwaaan wakat aliimba vizur sanaMmh mbona niliwahi hudhuria fiesta mwakajana mkoani alipata shangwe za kutosha?
Mwaka huuu poooh amepoooza na Dodoma walimfukuza jukwaaan wakat aliimba vizur sanaMmh mbona niliwahi hudhuria fiesta mwakajana mkoani alipata shangwe za kutosha?
Hivi ni mtu wa wapi vileNa hakuna Msanii anamfikia ana sauti balaa anajua kupanga jukwaa na live band tatizo hatak kwenda kuoga kijjn kwao anajifanya Wa dar poooh kabisa
Mimi naona hii haziwezekani anaiimba vizuri tuHuyu Kassim Mganga hata simwelewi
Anamwangusha Jux
Jamani Kwani Grace Mugabe Ni Nani Hapa Bongoland? Nasikia Anatajwa Tajwa Sana
Labda mwakahuu, ila show za mwakajana alikubalika sana.Nadhani na haya maigizo yake na Vanessa yanawaboa wengi, binafsi siyafurahiiMwaka huuu poooh amepoooza na Dodoma walimfukuza jukwaaan wakat aliimba vizur sana
Sjui mpare hata sjui maana uzungu guniaHivi ni mtu wa wapi vile
Uko sahihiJux Umeshindwa M Sapot Hata Kwa Kiitikio Iyo Nyimbo Za Awena
Una Failed Hapo Ndugu Yangu
Mbaya Zaid Unatumia Dk Nyingi Kumzungumzia V Money Badala Ya Wew Kupiga Show Nzur
Ume Failed Hapo
Alafu Izo Nyimbo Anazo Imba Tajiri Wa Mahaba Kwa Nin Usiimbe Wew Au Ungemuomba Tuuuu
Sasa Show Ya Kwako Lakin Inaonekana Kama Ya Kasim Bhana
Ndio Mana V Anakukimbia Wew
Nimemuelewa sanaaaaaaaaaKasimu yuko vizuri aisee
Yule aliyeiba vyetiJamani Kwani Grace Mugabe Ni Nani Hapa Bongoland? Nasikia Anatajwa Tajwa Sana
Hahaaa eti uzungu guniaSjui mpare hata sjui maana uzungu gunia
KabisaLabda mwakahuu, ila show za mwakajana alikubalika sana.Nadhani na haya maigizo yake na Vanessa yanawaboa wengi, binafsi siyafurahii
HahahaWashaanza kunizingua na huyo tajiri bana wasepe tu
Mimi naona hii haziwezekani anaiimba vizuri tu
Mbona mna imani dhaifu sanaNa hakuna Msanii anamfikia ana sauti balaa anajua kupanga jukwaa na live band tatizo hatak kwenda kuoga kijjn kwao anajifanya Wa dar poooh kabisa