Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Darassa anaingia saa ngapi jamani.. natumaini sijapitwa.

Nimependa stage yao

Pana sana.. Vanessa kashindwa kuitumia na wachezaji wake.. atakuwa kazoea kufanyia mazoezi kwenye stoo.🙂
 
Back
Top Bottom