Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Naomba mtoto mkali anitafute niko VIP nina mtungi wa vinywaji na crew yangu
Ila hutakiwi urudi kwenu
 
Linah kavaaa Kinyelamumo (Kunya humo humo) ana shepu hatar ila nguo aliyovaa kwetu wanavaa watu ambao hawajisikiagi haja kubwa mpaka baada ya sku 3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom