Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,684
AlaaaahMsanii wa B dozen huyo, ndo meneja wake so anaweza kukesha hapo hadi asubuhi
AlaaaahMsanii wa B dozen huyo, ndo meneja wake so anaweza kukesha hapo hadi asubuhi
Habari ndiyo hiyoMsanii wa B dozen huyo, ndo meneja wake so anaweza kukesha hapo hadi asubuhi
Performance Yake Katika Jukwaa La Live Band Ipo Chin Sana Hili Swala Linatakiwa WazingatieJux hata simuelewi na hiv watu wamesimama wanataman kumfukuza miwani kavaa ya jua itakuwa hata haoni watu wakiwa wamemchoka poooh
Nimecheka kifalaaaaahio pooh ndo unatema mate au?
Picha basi,mimi Tv yangu jux amesababisha nimeivunja!Uwiiiiiii vanesaa kavaa mananasi ya Geita poooooh
Kavaa matenga ya kukuUwiiiiiii vanesaa kavaa mananasi ya Geita poooooh
Kavaaa nanasi la kiwangwaa pooh na bwana ake hawana nyota hawapendi kuoga wana uzungu sanaDaah jux ndo anaomba msamaha au me naona jau tu, alafu vmoney mavazi yake sijui anayatoaga wapi
Wanaleta personal issues muda wa burudani, wanazingua sanaHivi kwan msanii ni vanessa na jux tuu wanatuzingua tu bhan
Yan wanakera sjui wanafanya nn jukwaaani pooohPicha basi,mimi Tv yangu jux amesababisha nimeivunja!
Matenga ya kuku Wa SngdaKavaa matenga ya kuku
Muda si mrefu wajomba wanaingia na mabomu ya machozisaa saba hii.........naona grace mugabe anakaribia ukumbini
HahahahaKavaaa nanasi la kiwangwaa pooh na bwana ake hawana nyota hawapendi kuoga wana uzungu sana
Wakat Unaivunja Na Uwakika Ulifikilia Jinsi Ya Kuipata NyinginePicha basi,mimi Tv yangu jux amesababisha nimeivunja!
Hahaaa kwamba makonda hajapenda auMuda si mrefu wajomba wanaingia na mabomu ya machozi
Uwiiiiiii vanesaa kavaa mananasi ya Geita poooooh
Hahahaha
Vmoney Kakubali et usirudie tena Bongo bana..!!
Huyu Grace Mugabe Inaelekea Ni Shida Eeeeh!saa saba hii.........naona grace mugabe anakaribia ukumbini