Fidel Castro ajitabiria kifo

pili acha kukariri kama hujui sema uambiwe dunia ni siasa na Siasa ndio dunia -politics is about power and authority! kila kitu duniani kinafanyika kutokana na siasa!.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1603] Siasa ni Taaluma!
 
Kauli nzuri ni ipi? Hivi wewe unaishi bila kutegemea kufa?

Amma kwa hakika hiyo nayo ni tofauti kubwa sana ya kuwa umejaa ujinga. Sisi tunaamini kifo ni haki.
Hahahaaa kweli nyie magamba akili zenu za kushikiwa
 
Acha matusi faiza ukitenda mema yataishi karudi Kwa Muumba wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…