Hao ndiyo walilipa heshima gwanda likaonekana vazi la kianaharakati,vazi la ukombozi leo hii wanavaa makanjanja wapiga dili tu halina tofauti na batiki tena.
Bibi mtake radhi mleta mada kwa hiyo ukiwa na umri kama wa F Castro unapaswa kujitabiria kifo??? Basi aanze Mzee mwinyi wa 1925 kujitabiria kifo ambae kwa sasa ana miaka 91 hiyo aliyofanya Castro ni akili yake binafs hata wa miaka 50 anaweza fanya hivyo haihusian na umri bibi yangu afu kwan na wewe faiza hujajitabiria tu hadi leo????
Hivi ww upoje, unakauli mbayambaya khaaSasa umri huo unatabiri nini tena? mleta mada poyoyo kweli kweli.
Kunatofauti kubwa sana kiafya kati ya mtu anayeshinda vibarazani kafunga msuli huku akicheza BAO au akinywa kahawa , na mtu anayekesha porini, akipambana na maharamia wanaotaka kuchukua/kuvamia mji au ardhi yake.Daah! Kumbe Fidel Castro ni mdogo Ki Umri kwa Mzee Mwinyi lakin sasa pamoja na u Field marshal wake hawezi kusimama bila ya Msaada wakat Mzaramo wetu wa Mkuranga anashiriki mpaka marathon fupi[emoji3][emoji3]
Kunatofauti kubwa sana kiafya kati ya mtu anayeshinda vibarazani kafunga msuli huku akicheza BAO au akinywa kahawa , na mtu anayekesha porini, akipambana na maharamia wanaotaka kuchukua/kuvamia mji au ardhi yake.
ndio kafa leoJamani Mzee Castro! Mungu aendelee kumpa uhai mrefu,sitaki kusikia habari za kifo chake kabisa.
You can't be serious!ndio kafa leo
You can't be serious!
Mkuu hilo ni gubegube LA jf liache kama lilivyoKwa hakika maisha ya mwanadamu ni kama ua la kondeni; lachanua, lameremeta asubuhi; jioni halipo! Castro, yule simba wa Cuba ndio kawa hivi? Dah!
Hivi ww upoje, unakauli mbayambaya khaa
ha ha haaaa watu mna majibu ya maudhi sana.hukuona tb joshua akitabiri magufuli atashinda uchaguzi wakati jecha ameanza kutangaza matokeo?
Hivi ww upoje, unakauli mbayambaya khaa
ndio hivyo r.i.p castroYou can't be serious!
Faiza kwani ni mleta mada au muhusika mwenyewe ndio kasema?tusimlaumu mleta uzi plzPunguani.