Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
Anatafutwa Co-Presenter/Host (Female) atakasaidiana na main Main Host/Presenter katika Talk Show inayotarajiwa kuanza kurushwa katika Luninga hivi karibuni kila wiki kwa saa moja.
Sifa:
Kwa aliye na sifa anaweza kutuma CV na kuniandikia: mtsimbe@micronet.co.tz
Sifa:
- Awe anajua vema Kiingereza na Kiswahili
- Anayejiamini
- Awe "anatazamika" kwa viewers wa TV na waalikwa katika kipindi (Presentable)
- Anayeweza kuongea na kuendesha kipindi kwa umahiri wa hali ya juu
- Anayeweza kujifunza; kuchambua issues kwa haraka na kuziwakilisha ina a Motivational Way
- Kipaji cha kuleta positive au negative emotions wakati wa kuendesha kipindi
Kwa aliye na sifa anaweza kutuma CV na kuniandikia: mtsimbe@micronet.co.tz