Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,035
- Thread starter
- #21
Ofcozi, Vigezo viko zaida ya sawa; Interview lini?
Naomba kwanza nitumie CV please. mtsimbe@micronet.co.tz
Ofcozi, Vigezo viko zaida ya sawa; Interview lini?
Una maana F word fever imerudi? Si kuna mahali ulisema it is long gone after having your baby ama??Mie bwana vigezo vyote ninavyo and I can do it without a sweat, comes naturally. Tatizo bwana sentensi moja haiwezi kukamilika bila the F work so nishafeli.
Una maana F word fever imerudi? Si kuna mahali ulisema it is long gone after having your baby ama??
ntakutumia cv yangu. Though hujaeleza kazi itakuwa mkoa gani bt nipo vizuri kwenye hayo masuala. Unaweza kunitumia your number kama inawezekana.
Je ni kituo gani cha televisheni? Maana mke wangu ni mtangazaji!
hahahahahahahha msiri nitake radhi, au unataka yule mkenya akaijenge westgate in three days kama hekalu la bwana lilivyojengwa! hapana sweetheart, candy wangu angekuwa university level, hakika ningemtosa, maana lugha inapanda mbaya, gfsonwin dec nitakutafuta nasafiri mara moja, nikirudi tu nina wewe!mimi ni miongoni mwa board of trustee hivyo siwez kugombea
nafikiri wewe ndo ingekufaa zaidi.
nipo nipo mambo lakini??
Yes awe Mdada ambaye ni Presentable au ana mvuto wa kuangaliwa anapoongea. It could be the beauty au dressing code or anything to attract viewers!
oky ila sijui kama nina mvuto wa kuonekana
For some reasons sitataja kwa sasa. Ila ni moja kati ya mainstream TV stations with National Coverage.
Hata mimi sina uhakika. Why dont you send a CV kwanza?