Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,035
- Thread starter
- #41
Tumia zote isipokuwa TBC1!
Thanks. TBC1 ina nongwa gani?
Tumia zote isipokuwa TBC1!
nitatuma nijaribu kama nitafaulu interview
Oyaa nipo supa frend wangu mbongoz mkareeez you know wassup man!!
Ila kwenye heading umechemsha kidogo umombo. Umeandika "Female TV Talk Show Co-Presenter/Host Required"
Kwa umombo sanifu ni "Female TV Talk Show Co-Presenter/Host Needed"
Wasalimie masupa wabebs wote wakareeez wa bongo Darislama waambie majuu watasubiri sana mwaka huu.
LE MUTUEE LIVE AT DOWNTOWN BONGO HANGING OUT NA MBEBS WA UKWHEEEH MKAREEZ WA WOTE KIJITONYAMA SUPER JACKY MZINDAKAYAZZ!! LOVE HER KWA SANA MINGI SHE IS MY BABY-SISTER!!
![]()
Thanks. TBC1 ina nongwa gani?
mambo mengine yote nitaweza iila sasa hapo kwenye anayetazamika ndo issue nzito
nipo sana sana kule sport bibie huku nakuja mara chache sana.. niaje lakini..
hahahaaa!!cousin kwani we
hutazamiki?hebu tuma ma CV bwana!!
Asante kwa kuniita ndugu yangu mie sifa zote hizo ninazo hadi za ziada ila hapo kwenye kingereza hapo.........mmh,kwani hiyo show itahoji wachina au wazungu?lakini nitakuona chemba kiongozi wangu ili nami niandike maombi.ngoja niwaite ndugu zangu hapa Lady doctor, Passion Lady, charminglady, WiseLady, sweetlady, FirstLady, Smile, cacico na wengineo kujeni huku kuna kazi ya ziada baaday yaa kazi zenu
part time job hiyooooooooo
Anatafutwa Co-Presenter/Host (Female) atakasaidiana na main Main Host/Presenter katika Talk Show inayotarajiwa kuanza kurushwa katika Luninga hivi karibuni kila wiki kwa saa moja.
Sifa:
- Awe anajua vema Kiingereza na Kiswahili
- Anayejiamini
- Awe "anatazamika" kwa viewers wa TV na waalikwa katika kipindi (Presentable)
- Anayeweza kuongea na kuendesha kipindi kwa umahiri wa hali ya juu
- Anayeweza kujifunza; kuchambua issues kwa haraka na kuziwakilisha ina a Motivational Way
- Kipaji cha kuleta positive au negative emotions wakati wa kuendesha kipindi
Kwa aliye na sifa anaweza kutuma CV na kuniandikia: mtsimbe@micronet.co.tz
Asante kwa kuniita ndugu yangu mie sifa zote hizo ninazo hadi za ziada ila hapo kwenye kingereza hapo.........mmh,kwani hiyo show itahoji wachina au wazungu?lakini nitakuona chemba kiongozi wangu ili nami niandike maombi.
Bytheway hapo kwenye kutazamika vigezo gani vinatumika?
Msimbe nijibu tafadhali
kwenye kutazamika wanaangalia mvuto wa sura yako kama unaweza kutazamika kwa watazamaji wa tv talk show hiyo, sasa kuhusu lugha hapo hata nami sijapaelewa vizuri alitakaje huyu best?
Lady doctor amekwambia kuna kasherehe ka get together kakumfanyia daddy watu8 december hii au bado hajakwambia?
Hata mimi sina uhakika. Why dont you send a CV kwanza?
Mmmh! umeshatuma CV?
Mkuu Sanctus Mtsimbe, hii nafasi ya kazi imeshafungwa? Na je, mtu anahitajika kuwa Tanzania kimakazi fulltime?
kama ni kweli nimeshatuma nasubiri majibu
Mkuu upo? Mkuu mwingine aliepotea ni ndetichia.